Nchi zinazoongoza kwa kuchapa kazi Afrika na zinazoongoza kwa uvivu barani Afrika

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
*LIST OF AFRICAN COUNTRIES WITH HARDEST WORKING AND LAZIEST PEOPLE*

A new list has emerged showing countries with hardest working people. The list also acknowledges countries with laziest people, *Tanzania* being one of them.

The research says countries with hardest working people have managed to survive even during worst economic times. These countries also have millions of their countrymen and women in Europe, USA, Canada and other developed nations.

*THE FULL LIST OF HARD WORKING COUNTRIES IS AS FOLLOWS*
1. Nigeria
2. Kenya
3. Egypt
4. Zimbabwe
5. Libya
6. Somalia
7. South Africa
8. Morocco
9. Tunisia
10. Rwanda
11. Ethiopia

*LAZIEST COUNTRIES IN AFRICA*
1. Tanzania
2. Burundi
3. Swaziland
4. Lesotho
5. Equatorial Guinea
6. Congo
7. Southern Sudan
8. Cape Verde

The research shows that countries with lazy citizens have stagnant economy. People here wake up as late as 10 am and sleep as early as 6 pm. Where as countries with hardworking people, individuals sleep as late as 12 am and wake up as early as 3 am.

The level of literacy in hard working countries is high while lazy countries
 
TAKWIMU zako hazina source Wala Nini anyway nikijibu kienyeji tu.Nchi zote ulizotaja mleta mada kuwa Ni wachapa kazi wote wana tatizo kubwa la Ardhi.

Wananchi walio wengi hawana Ardhi kwa hiyo maisha ni kubangaiza hapa na pale ili waishi .

Tanzania tuna ardhi tele maisha Sio ya kusukumana kufa na kupona ili ku survive kama nchi hizo ulizotaja ndio maana watu wana relax mtu kuishi akiwa ka relax sio uvivu as long as ana uhakika wa maisha yake.

Nchi unazoita za wachapakazi ndizo zinaongoza kwa watu wanaoumwa presha.

Nenda mikoa wanayosema watu kuwa ooh watu wa pwani wavivu so rahisi kumpata mtu wa Pwani mwenye ugonjwa wa ptesha
 
Sababu hiyo ya wao kusambaa nchi za nje tu inatosha kuonyesha nchini mwao kuna tatizo kubwa la either job opportunities, ardhi political instability n.k. hivyo ni lazima watafute mkate wao nje.. it can never define lazyness. cheki kenya, ethiopia, nigeria na rwanda wana matatizo kama hayo niliogusia
 
Kwa maana nyingine Wapwa zetu Wakenya efficiency yao ni ndogo sana katika upigaji kazi wao vinginevyo I need some logical explanation as to why nchi ambayo ni ya pili kwa upigaji kazi Afrika, uchumi wake haupo hata katika Top 5?! Hawa si ndo wale waliosababisha uje msemo wa "kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe"?

Moja ya sababu ya kukosa efficieny ni matumizi makubwa ya maguvu badala ya akili! No wonder Wakenya wengi ni full vigimbi!
 
Kwa maana nyingine Wapwa zetu Wakenya efficiency yao ni ndogo sana katika upigaji kazi wao vinginevyo I need some logical explanation as to why nchi ambayo ni ya pili kwa upigaji kazi Afrika, uchumi wake haupo hata katika Top 5?! Hawa si ndo wale waliosababisha uje msemo wa "kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe"?

Moja ya sababu ya kukosa efficieny ni matumizi makubwa ya maguvu na akili kijiko cha chai!
Hawana natural resources za maana.
 
Kwa Kenya na Nigeria kuwa top2 nakubaliana na wewe kabisaa, kama unataka biashara yako ipige hatua ajiri mkenya mambo yakwenda vizuri...ila kusema warundi ni ma-lazy sikubaliani na wewe hata kidogo, warundi wanapiga kazi kweli kweli na hasa kazi za nguvu nguvu, ukiajiri mrundi shambani anakuwa kama treka tena kwa malipo kidogo tuu!, ukiajiri mrundi jeshini/vitani yaani anakuletea maburungutu ya notii.
 
Hawana natural resources za maana.
Wana bahari, mbuga za wanyama, milima kwa ajili ya vivutio vya utalii, mito na maziwa; what else?! Egypt na Kenya nani ana natural resources za maana?! What about Ethiopia ambayo uchumi wake ni mkubwa kuliko Kenya?! Hata Morocco sidhani kama wanawazidi Kenya kwa natural resources manake cha pekee ambacho Morocco anacho kwa wingi kumzidi Kenya ni makaa ya mawe; ambayo tunaya-compansate na mbuga za wanyama ambazo Wakenya wanazo!!
 
Uongo mtupu hao Burundi wanapiga sana kazi mashambani geita, kigoma. South Africa ni wapiga kazi
Hata kudanganya hujui hapo sijawaona Zambia, Malawi
 
Hiyo laziest mbona Msumbiji aka Mozambique haipo?

Kwa Tanzania ni kweli kabisa. Nakubaliana na hiyo tafiti. Ukiishi nje ya Tanzania ndiyo utafahamu kuwa Watanzania wavivu wa kutupwa.

Hasa watu ambao dini ya waarab imepitia, wana umwinyi na usultani, wavivu sanaaa sanaaaa, chunguza hilo, kazi kuoa wake kadhaa na kupigana miti tu, umwinyi mtupu no creativity, no hard working, kazi kupiga deal tu, chunguza hilo..!!
 
*LIST OF AFRICAN COUNTRIES WITH HARDEST WORKING AND LAZIEST PEOPLE*

A new list has emerged showing countries with hardest working people. The list also acknowledges countries with laziest people, *Tanzania* being one of them.

The research says countries with hardest working people have managed to survive even during worst economic times. These countries also have millions of their countrymen and women in Europe, USA, Canada and other developed nations.

*THE FULL LIST OF HARD WORKING COUNTRIES IS AS FOLLOWS*
1. Nigeria
2. Kenya
3. Egypt
4. Zimbabwe
5. Libya
6. Somalia
7. South Africa
8. Morocco
9. Tunisia
10. Rwanda
11. Ethiopia

*LAZIEST COUNTRIES IN AFRICA*
1. Tanzania
2. Burundi
3. Swaziland
4. Lesotho
5. Equatorial Guinea
6. Congo
7. Southern Sudan
8. Cape Verde

The research shows that countries with lazy citizens have stagnant economy. People here wake up as late as 10 am and sleep as early as 6 pm. Where as countries with hardworking people, individuals sleep as late as 12 am and wake up as early as 3 am.

The level of literacy in hard working countries is high while lazy countries
Nadhani hatupaswi tena kuzungumzia mambo ya hard working tunapaswa kuzungumzia "Smart Working"
Hivi ktk dunia ambapo shamba la samaki la eka 20, wanafugwa kwenye Sqm 800 tu na kila kitu kiko automated kwa simu tu tena hapa hapa Tz
Katika dunia ya Greenhouse Farming, Hydroponic Farming, Zero Grazing and Automated Factories bado tunahitaji kuzungumzia Hard Working ??

Tunapaswa tukusanye Nguvu kazi za vijana wetu tuwafundishe, tuwaamini, tuwaambukize kujiamini washirikiane kufanya kitu kinaitwa Synergy tuwaambie kwamba Dunia ya sasa haiitaji hardworking inahitaji
Smart Thinking
Smart Marketing
Smart Team Work
Smart Working
 
Unaweza ukawa si utafiti halisi lakini tuna uvivu mkubwa hasa kwa vijana. Kukosa kazi imekuwa kisingizio, vijana hawapendi kazi za nguvu. Hata chaguzo la wana siasa ni kutaka vijana wapewe mitaji wafanye biashara. Hakuna wazo la kazi za uzalishaji eg kulima au kufuga.
 
Back
Top Bottom