Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

Wewe kama mataga Kazi yako ni kuropoka badala ya kutumia akili.Unaweza nipa trend ya growth kutoka vyanzo reliable kutoka 2015/2016 hadi 2020/2021?

Nipe hizo growth afu ndio uje kuharisha hapa.
Ingia kwenye mtandao utajionea mwenyewe!! Nimekuwekea hiyo hapo juu na huna namna ya kuikanusha na unaweza kuingia mwenyewe mtandao jkaihakiki! Kama una ubavu tuwekee wewe hiyo trend unayoitaka maana ipo imejaa kwenye mtandao!! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake hakuna awezaye kuipotosha-period!!
 
Usivyokuwa na akili kipindi cha upigaji kama mnavyoita wewe na wajinga wenzako ukuaji wa uchumi ulikuwa 7.2% ,sasa tunaomba na growth rates za kipindi cha nyie wazalendo uchwara kuanzia 2016-2020

Na mnukuu Mzee wa busara na hekima na kujishusha Mwinyi AH. Miaka mitano JPM umefanya muujiza wa kiuongozi kwa Taifa letu.
 
Katiba mpya ndio inaleta GDP? 😄😄😄😄 Toka jf nenda road ukadai Katiba mpya.

Kama umesoma Uzi ni kwamba hadi 2016 Tulikuwa juu ya Ghana na Tunisia wakatupita.Mwaka Jana Tulikuwa juu ya Ivory coast,wametupita mwaka huu
Tuambie mwaka 2010 hadi 2015 tulikuwa wapi? Kama una ubavu lete hiyo halafu linganisha na 2015-2020!! Ukweli jkk waxj na haukwepeki!! Hivi unakumbuka ni lini tuliingia kwenye uchumi wa kati? Ni awamu ipi ilihusika?
 
Wewe kama mataga Kazi yako ni kuropoka badala ya kutumia akili.Unaweza nipa trend ya growth kutoka vyanzo reliable kutoka 2015/2016 hadi 2020/2021?

Nipe hizo growth afu ndio uje kuharisha hapa.
Pole kwa kuaibika hapa mtandaoni!! Tukana uwezavyo lakini huwezi kubishana na namba!! Nakuwekea nyingine hii hapa nayo jitahidi kubishana nayo:

Ngoja nikujibu to politely, maana unajifanya unajua while kichwani ni mtupu kabisa..
Nway Taratibu za mwaka wa kifedha na statistic ni vitu viwili tofauti, usivichanganye.
Kwakua mwaka wa fedha umeisha June 30 haina maana na data uchumi nazo zinakua collected to mimic mwaka wa fedha.
1st quota ni January to March
2nd quota ni April to June
3rd quota July to Sept
4th quota Oct to Dec.

Nway nimekuambatanishia screenshot kutoka NBS za First quota ya 2020 ili kukupa uelewa zaidi.

View attachment 1837471
Huyu jamaa wala hahitaji kuelimishwa! Amekurupuka na hana unyenyekevu ambao ungemwezesha kujifunza ili siku nyingine aepuke kula matango mwitu halafu ajaribu kuwalisha na wengine matango mwitu aliyokula yeye!! Wengi humu wamejaribu kumwelimisha na kumpa data sahihi!!! Atakuja hapa kukataa hata takwimu za nchi yake mwenyewe!
 
Ngoja nikujibu to politely, maana unajifanya unajua while kichwani ni mtupu kabisa..
Nway Taratibu za mwaka wa kifedha na statistic ni vitu viwili tofauti, usivichanganye.
Kwakua mwaka wa fedha umeisha June 30 haina maana na data uchumi nazo zinakua collected to mimic mwaka wa fedha.
1st quota ni January to March
2nd quota ni April to June
3rd quota July to Sept
4th quota Oct to Dec.

Nway nimekuambatanishia screenshot kutoka NBS za First quota ya 2020 ili kukupa uelewa zaidi.

View attachment 1837471
Huyu jamaa wala hahitaji kuelimishwa! Amekurupuka na hana unyenyekevu ambao ungemwezesha kujifunza ili siku nyingine aepuke kula matango mwitu halafu ajaribu kuwalisha na wengine matango mwitu aliyokula yeye!! Wengi humu wamejaribu kumwelimisha na kumpa data sahihi!!! Atakuja hapa kukataa hata takwimu za nchi yake mwenyewe
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT.

Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.

Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi ni kama ulidumaa kutoka ukuaji wa wastani wa 7% 2010-2015 hadi kufikia 4% mwaka 2021.

Hali hii ilichangiwa na sera mbaya za uchumi za Serikali iliyopita na matokeo yake ndio hayo,tumepitwa na nchi kama Angola,Tunisia,Ghana na sasa Ivory Coast.Nchi zote hizo Tulikuwa juu yao.

Mbaya zaidi hata gap la Uchumi Kati ya Mshindani wetu Kenya liliongezeka zaidi tofauti na awali ambapo Tulikuwa tunalifunga kwa kasi.

Kwa mwendo huu hivi kuna matumaini kweli huko tuendako? Nimesikitika Sana kwa hali hii kwa Nchi yenye rasilimali za kutosha .

View attachment 1836795
Hujui unachosema Kamanda, ukubwa wa uchumi haupimwi kwa makadirioya IMF waka mdogo wake IMF. Sote tunajua Mlima Kilimamjaro uko wapi, si makadirio. Kenya na Rwanda wameweka hela za "remittances" kutoka kwa diaspora wao kutokana na vurugu na michafuko, wakienda nje huleta hela kwa familia zao. Kwa hiyo "wametuzidi" uchumi kwa vile sisi ni nchi ya amani hatuna wakimbizi zaidi ya tundulissu. Amani nayo hakuna "makadirio".
 
Oneni hiki kituko,kwa hiyo kozi ya Economics ipo kwa ajili gani sasa?
 
Huyu jamaa wala hahitaji kuelimishwa! Amekurupuka na hana unyenyekevu ambao ungemwezesha kujifunza ili siku nyingine aepuke kula matango mwitu halafu ajaribu kuwalisha na wengine matango mwitu aliyokula yeye!! Wengi humu wamejaribu kumwelimisha na kumpa data sahihi!!! Atakuja hapa kukataa hata takwimu za nchi yake mwenyewe
Useless ,wajinga mnashauriana upumbavu.
 
Muulize Mzee Ruksa.
Mgonjwa wa uzee anajua nini sasa? Yule babu si anapoteza kumbukumbu? Tukikuuliza wewe miaka 5 mwendazake alifanikisha nini kikakamilika jibu unalo? Yaani yeye aliishia tuu kuweka mawe ya msingi nothing else
 
Aliyetufikisha kwenye top 10 ni nani? Na aliyepo sasa ameweza kumaintain na kuzidi kuipandisha chati Tanzania? Jibu ni HAPANA.Usilete siasa za mdomoni kwenye uchumi wa nchi.Mama mama kila kitu mamaaa! 1T my ass! Tumeshazoea hizo siasa tangu enzi ya Kikwete! Hatutaki uchumi wa kwenye makaratasi na mdomoni! Tanzania ilikuwa top 10 na IMF ilithibitisha! Haina ubishi.Tunataka mifano kama hiyo!

Mkuu inabidi upate shule na history ya uchumi wa Taifa hili kabla ya kucomment hapa
 
Useless ,wajinga mnashauriana upumbavu.
Tukana uwezavyo lakini umepewa data na ufafanuzi wa kutosha kupindua hoja yako. Kuna mtu kakupa mpaka takwimu kutoka nchini kwako. Pinga na ukweli kuwa kuna awamu kloyotuingiza uchumi wa kati kabla ya muda uliotarajiwa!!!
 
Acha uvivu, jaribu ku Google tu upate taarifa za hali ya kiuchumi ya wananchi wa Nigeria. Huo uchimi mkubwa nipesa za watu binafsi wanao miliki visima vichache vya mafuta.
Jina lako tu linakuelezea wewe ni "Ntu" wa namna gani
 
Back
Top Bottom