Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,816
huku wanafunga line zenyewe kwanza
Haha 🤣 🤣Tutakuwepo kwny top 15 labda.
dodge
Ni shida.huku wanafunga line zenyewe kwanza
Unaelewa maana ya wastani? Wewe unapata hiyo spidi na babu yako kule kijiji anapata hata 2g kweli?Hizi ndio zile huwa naziita takwimu uchwara,
Niko hapa nimeweka 3G only muda huu napata hadi 14 mbps na hapo sija switch to 4G.
Hiyo ni yako na sio kwa wastani.Hizi ndio zile huwa naziita takwimu uchwara,
Niko hapa nimeweka 3G only muda huu napata hadi 14 mbps na hapo sija switch to 4G.
Unafahamu niko wapi au umeropoka tu.Unaelewa maana ya wastani? Wewe unapata hiyo spidi na babu yako kule kijiji anapata hata 2g kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu niko wapi au umeropoka tu.
Aiseee. Kama nimekuelewa unamaanisha jamaa ni ndege johnINAONEKANA UNA UFAHAMU NDOGO SANA WA UELEWA.
Nashukuru sijafikia ufahamu wako mdogo wa kufikiri.INAONEKANA UNA UFAHAMU NDOGO SANA WA UELEWA.
Mkuu unafanya kazi NASA ?Inasikitisha tanzania bado mnachezea less than 2mbps, uchumi kwenye tech utakua kweli?
Miaka mitano sasa natumia Google Fibre 1Gbps nishasahau hata kama kuna sehemu wana matatizo ya internet, kustream 4K netflix au youtube ni kugusa tu hakuna buffering. Kitu kama internet, maji, umeme ni matatizo wenzetu walishasolve miaka, sisi bado hata kuanza ni kama tunajifikiria bado.
Unafahamu niko wapi au umeropoka tu.
Mkuu unafanya kazi NASA ?