Nchi za wenzetu akina Chenge, Ngeleja, Kafumu wangejiuzulu UBUNGE wetu kupisha uchunguzi wa mikataba

Tanzania tabia za viongozi kulindana zitatukwamisha kwenye mambo mengi sana.
Nchi za wenzetu akina Andrew Chenge, Wiliam Ngeleja, Kafumu wangejiuzulu UBUNGE wetu kupisha uchunguzi wa mikataba ya madini ukamilike.
Sisi wala hawataguswa.

mkuu unaongea haya km umezaliwa nchi za wenzetu,,only EL,na Mwinyi wakifanya haya ,mm ndo maana nambeza sana HEAD WENU,amekua mtu wa blah blah sn,yaan wale wale tu nmnamsifiaga bhyu kiboko ana hasira why asingewavua yy mwenyewe? inakera sana thts y wapinzani wanwabeza mxiew
 
Tukisema Kila mtu aachie ngazi kwa tuhuma, hakuna atakaebaki serikalini au bungeni. Mfano mzuri ni mkubwa mwenyewe.
 
Bila Mheshimiwa Rais kuwavua madaraka hao watu basi kila kitu kilichofanyika ni kutuadaa watanzania.
 
Tanzania tabia za viongozi kulindana zitatukwamisha kwenye mambo mengi sana.
Nchi za wenzetu akina Andrew Chenge, Wiliam Ngeleja, Kafumu wangejiuzulu UBUNGE wetu kupisha uchunguzi wa mikataba ya madini ukamilike.
Sisi wala hawataguswa.
Michezo ya kuigiza hii, watu wanataka wavute mpunga kama kwenye madawa ya kulevya wapige kimya
 
Tanzania tabia za viongozi kulindana zitatukwamisha kwenye mambo mengi sana.
Nchi za wenzetu akina Andrew Chenge, Wiliam Ngeleja, Kafumu wangejiuzulu UBUNGE wetu kupisha uchunguzi wa mikataba ya madini ukamilike.
Sisi wala hawataguswa.
Na katika hizo nchi za wenzetu mawaziri wakuu kama Sumaye na Lowasa huwaga wanaasamehewa pindi wanapojisalimisha upinzani.
 
Back
Top Bottom