Nchi za mwanzo kusherehekea Mwaka mpya...

Last Seen

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
223
549
Mambo vipi wana JF.
Yakiwa yamesalia masaa machache tuuage mwaka 2021 na kuingia mwaka mpya wa 2022, Kuna baadhi ya mataifa yalishauona mwaka mpya mapema sana....

Nchi Visiwa vya Tonga, Samoa na Kiribati ndio nchi za kwanza kusherehekea mwaka mpya 2022..Visiwa hivyo hupokea mwaka mpya saa 10 Am GMT.

Na nchi ya mwisho kupokea mwaka mpya ni visiwa vya Howland and Baker vilivyopo pembezoni wa Nchi ya Marekani na visiwa hivi havikaliwi na watu.

Heri ya Mwaka mpya wana JF.
 
Back
Top Bottom