Nchi za Magharibi zinachochea migomo na vurugu Tanzania

Siyo siri hata mitandao kama hii ya JF na FB inatumika.
LEO ,JF ukurasa woote wa siasa ni Ulimboka.
The message is clear-INCITE!
Mbona hata magazeti yote ya ccm yameongelea Ulimboka? Kumbe nayo yanatumika kuchochea migomo Tanzania eeh!! CCM kaeni kimya hamna hoja tena!!
 
Kama walivyofanya na Arab SPRING sasa wanataka kutuletea African SUMMER. Sasa inavyoonekana Tanzania is not immune from this nonsense. Hakuna anayekataa mabadiliko lakini haya mambo ya kuchochea migomo na vurugu sidhali kuna serikali yoyote ile duniani (including hizo za magharibi) zitakubali.

Nashauri kuwa wanaotaka mabadiliko na wanaotaka kugoma wakae mezani na serikali na wajadiliane lakini pia wasikubali kutumiwa kuleta vurugu ndani ya nchi. Serkali naishauri ijaribu kuyamaliza haya mambo kwa amani ikishindikana ivunje mikataba yake na hawa waalimu na madaktari na iajiri wengine wapya baada ya kukubaliana terms.

Serikali nayo iwe wazi kueleza wazi kwa wananchi mazuri na mambo ambayo ishafanya kurekebisha hali maana inavyoonekana kuna one side of the story inayoelezwa na wanao clam kuwa wao ni victims.

Serikali nayo iwe wazi kuwapa ukweli hizi nchi za magharibu na kuzitaja na hizo civil service organisations ambazo zinasponsor hizi vurugu.

"The way we see the problem is the problem- Stephen Covey! "-I don't think our problems start out there...we create them by lack of ethics and integrity in handling public issues. Rushwa, wizi wa mali ya umma, double standards in approaching issues regarding democracy etc...hayo ndio yanawasukuma watu wasiwe pamoja kujenga nchi yao. Kama tunataka kufanikiwa, lets start cleaning our house...tuone kama mtu wa nje atakuja kutuchezea.
Ila sasa hivi viongozi wanachofanya sio kitu wanachokisema na inakuwa ngumu kuwaamini.
 
Kama walivyofanya na Arab SPRING sasa wanataka kutuletea African SUMMER. Sasa inavyoonekana Tanzania is not immune from this nonsense. Hakuna anayekataa mabadiliko lakini haya mambo ya kuchochea migomo na vurugu sidhali kuna serikali yoyote ile duniani (including hizo za magharibi) zitakubali.

Nashauri kuwa wanaotaka mabadiliko na wanaotaka kugoma wakae mezani na serikali na wajadiliane lakini pia wasikubali kutumiwa kuleta vurugu ndani ya nchi. Serkali naishauri ijaribu kuyamaliza haya mambo kwa amani ikishindikana ivunje mikataba yake na hawa waalimu na madaktari na iajiri wengine wapya baada ya kukubaliana terms.

Serikali nayo iwe wazi kueleza wazi kwa wananchi mazuri na mambo ambayo ishafanya kurekebisha hali maana inavyoonekana kuna one side of the story inayoelezwa na wanao clam kuwa wao ni victims.

Serikali nayo iwe wazi kuwapa ukweli hizi nchi za magharibu na kuzitaja na hizo civil service organisations ambazo zinasponsor hizi vurugu.
Shame on you. I feel sorry for your wife/husband.
 
kama mwalimu anagoma kwa sababu alichokisaini katika mkataba kinakiukwa hakuna shida...
hawa wanaogoma wanataka mishahara yao tatizo liko wapi?? mbona mawaziri sijasikia mishahara yao inacheleweshwa??
acheni ujinga wa kutetea vitu nonsense
 
kama walivyofanya na arab spring sasa wanataka kutuletea african summer. Sasa inavyoonekana tanzania is not immune from this nonsense. Hakuna anayekataa mabadiliko lakini haya mambo ya kuchochea migomo na vurugu sidhali kuna serikali yoyote ile duniani (including hizo za magharibi) zitakubali.

Nashauri kuwa wanaotaka mabadiliko na wanaotaka kugoma wakae mezani na serikali na wajadiliane lakini pia wasikubali kutumiwa kuleta vurugu ndani ya nchi. Serkali naishauri ijaribu kuyamaliza haya mambo kwa amani ikishindikana ivunje mikataba yake na hawa waalimu na madaktari na iajiri wengine wapya baada ya kukubaliana terms.

Serikali nayo iwe wazi kueleza wazi kwa wananchi mazuri na mambo ambayo ishafanya kurekebisha hali maana inavyoonekana kuna one side of the story inayoelezwa na wanao clam kuwa wao ni victims.

Serikali nayo iwe wazi kuwapa ukweli hizi nchi za magharibu na kuzitaja na hizo civil service organisations ambazo zinasponsor hizi vurugu.

haya ni majibu rahisi kwa maswali magumu. Acheni hizo ngonjera za kukwepa kuwajibika na kuwasingizia wasiohusika.
 
Sasa kwa nini mnaenda kuwaomba pesa kama wanachochea vurugu? Mnasema wanachochea vurugu lakini mwisho wa siku wanachangia 40% ya budget yenu. "Vya bure vina gharama".
 
Hivi hizo nchi za Magharibi ndiyo zilizomteka na kumtesa Dr. Ulimboka? Poor reasoning
 
Kama walivyofanya na Arab SPRING sasa wanataka kutuletea African SUMMER. Sasa inavyoonekana Tanzania is not immune from this nonsense. Hakuna anayekataa mabadiliko lakini haya mambo ya kuchochea migomo na vurugu sidhali kuna serikali yoyote ile duniani (including hizo za magharibi) zitakubali.

Nashauri kuwa wanaotaka mabadiliko na wanaotaka kugoma wakae mezani na serikali na wajadiliane lakini pia wasikubali kutumiwa kuleta vurugu ndani ya nchi. Serkali naishauri ijaribu kuyamaliza haya mambo kwa amani ikishindikana ivunje mikataba yake na hawa waalimu na madaktari na iajiri wengine wapya baada ya kukubaliana terms.

Serikali nayo iwe wazi kueleza wazi kwa wananchi mazuri na mambo ambayo ishafanya kurekebisha hali maana inavyoonekana kuna one side of the story inayoelezwa na wanao clam kuwa wao ni victims.

Serikali nayo iwe wazi kuwapa ukweli hizi nchi za magharibu na kuzitaja na hizo civil service organisations ambazo zinasponsor hizi vurugu.

Kuna mengi sana ya kujifunza. Na ni vizuri muangalie hiyo misaada na masharti yake.

Kwani mwenye njaa hachagui Chakula. Lakin angalieni vingine vina sumu.

Nimependa sana upembuzi wako na kulibainisha wazi kwa wana jamii wa Ki Tz
 
Ni uvivu wa kufikiri kudhani nchi za magharibi ndio chanzo cha migomo na wakati system imejaa matatizo makubwa!
Mbaazi ikikosa maua husimulia jua!
 
Puppy
Kabla ujalaumu Nchi za magharibi, waulize walokutuma haya
1. Wao wake zao wanajifunguliaga wapi? Sisi wakwetu ni majumbani, njiani na kwenye wodi za msongomanao.

2. Waulize watoto zao wanasomaga wapi? Sisi wa kwetu hata wenye div 3 kidato cha siku mwaka huu hawawezi jiungaga kwa tcu, mkopo hawapatagi, Primary na sekondari vitabu tabu, maabara hakuna na walim hawalipwi poa sana.

3. Waulize wanatibiwa wapi? Sisi dawa, gloves tunanunua nje, na kukiwa na mgao no upasuaji, kama ni kansa mpaka tuje Dar. Na uhakika wa kupona ni mdogo.

Waambie hayo ni machache kuna Ajira, Mashamba, Bei za Bidhaa, Kodi, Starehe etc.

Usimlaumu Shetani kwa Tamaa zako za mwili.
Usiwabebeshe magharibi mzigo wa Serikali yako dhaifu.

Liwalo Na Liwe

Mkuu Puppy, nimeipenda sana hii. Nyerere alishawaambia wamwonyeshe mjomba atakayewaletea maendeleo na yeye (Nyerere) angemuangalia bila kumuuliza chochote na kisha angecheka sana sana!
 
Back
Top Bottom