Nchi yetu inawezaje kuwa Tanzania ya viwanda bila kupitia daraja liitwalo mapinduzi ya Kilimo?

Inawezekana kabisa, mataifa tajiri yanajenga viwanada (manufacturing plants) kwenye nchi masikini zenye cheap labour na rahisi kukwepa kodi. Sio kila kiwanda kinachakata mazao ya kilimo.
 
Mimi nashangaa,tangia tupige kelele humu tunahitaji mapinduzi ya kilimo tuna ardhi kubwa tu haitumiki ipasavyo,hakuna linalofanyika,inaelekea ni mkakati maalumu watanzania tubaki na umaskini kwa sababu zao
Kuna sehemu Moshi kijijini huko kuna mwekazaji kapewa maelfu ya hekari analima kahawa yake miaka Nenda rudi halafu anasafirisha kwenda kwao huko ulaya, huku wakazi wa pale ndio wanatumika kama cheap Labour.
Hiyo nguvu ingetumika kuwawezesha vijana wetu kwenye kila ardhi ambayo ipo tu.
TANZANIA ya VIWANDA ni NDOTO za MCHANA kwa CCM ukikuta Mtu ana VYEREHANI 3 hicho ni KIWANDA
Ni ujinga ujinga tu unaendelea wa wanasiasa..
Tushapoteza miaka 6 tupo tupo tu tunapiga mark time.
 
Back
Top Bottom