Nchi yetu imelogwa au ni ya kichawi

Lord Delamere in Kenya

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,890
5,974
Kuna watu wamekuwa wakinong'ona kuwa Taifa letu limelogwa na hivyo tutahangaika sana kama taifa kujiletea maendeleo. Nilikuwa siamini ila sasa nimeanza kuamini. Kwanini?

Kuna mambo fulani yanayoendelea kwenye siasa,uchumi,jamii yanavunja moyo sana.Lakini huku kwenye soka ni kabisaaa..!

Kabla sijaenda mbali nikupe sifa moja kati ya nyingi za wachawi: huwa hawapendi maendeleo na mafanikio.Kama ndugu zako ni wachawi,utawagundua utakapoanza kufanikiwa,sasa hivi huwezi kuwaelewa.

Ni hivi: Simba Sports Club imeonyesha mafanikio makubwa sana kwenye soka kwa miaka ya hivi karibuni na inaonekana ina nia ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa zaidi. Ila cha ajabu kuna viongozi serikalini wenye dhamana ya soka letu wametokea kuichukia sana Simba SC.Si kwamba zamani waliwahi kuipenda,No! ila chuki zao dhidi ya Simba wameanza kuzidhihirisha baada ya Simba kuingia kwenye take-off stage ya mafanikio.

Nasema hivyo kwasababu;

1.Inakuwaje Simba SC ambayo imeliletea Taifa letu heshima kubwa ichukiwe na inyanyaswe huku serikali yote ikiwa kimya? (rejea suala la N-Cards). Nchi yetu isingekuwa na mindset ya kichawi Simba ilipaswa ipongezwe na ipewe support siyo kunyanyaswa.

2.Iweje Serikali na Media takribani zote wawe Pro-Yanga na kuiweka kando Simba? Kila kukicha ni kuipigia chapuo Yanga hii hii inayolidhalilisha taifa kwa 'kupigwa nao' na akina Kapumbu,Isaac Shamtompa na wenzake. Juzi tena ikafanyiziwa na Rivers United nyumbani kwetu na kuiaibisha nchi ila bado Media Houses zinawapa Yanga airtime ya kutosha kuliko Simba .Kama si kulogwa ni nini?

3.Ni Simba SC ndio imesababisha leo tuna vilabu 4 vinavyotuwakilisha kwenye michuano ya kimataifa.Haijawahi kutokea hii. Lakini watu wako kimya kana kwamba Simba haijafanya lolote katika hilo na bado wanaenda mbele kuinyanyasa Simba.

Simba ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.Ni sawa na mtoto mwenye nyota ya mafanikio kuzaliwa katika familia ya kichawi...atafanikiwa kwa mbinde sana. Kuna wakati nimewaza:Simba nayo ikikata tamaa na hatimaye iachane na mipango mingine ya maendeleo iliyojiwekea (kwa sababu ya chuki dhidi yake) ndo tutapata maendeleo ya soka?

Kuishi ndani ya taifa lenye watu wenye roho za kichawi ni tatizo kubwa.KAMA WE UNAJIFANYA HUAMINI KAMA UCHAWI UPO NA UNAATHIRI MAENDELEO,UTAFIKIRI ULIZALIWA AMSTERDAM BADALA YA MSAMVU,HUWEZI KUNIELEWA. Ila nakushauri upatapo mafanikio usijifanye una huruma sana kwa ndugu zako kwa kuwapa misaada,utakufa mapema. Kama wazazi wake wanasemwa semwa ni 'wazee wa busara' usijaribu kuwajengea nyumba nzuri na kuhakikisha wanakula vizuri UTAKUFA MAPEMA uwaache ndugu zako wasio na mbele wala nyuma wakiishi maisha marefu.Uchawi haupendi mafanikio na Simba SC ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.
 
Siku wahuni walipo organize kipindi kwenye TV kwa ajili ya kwenda kumtukana Mo Azam Tv nilijua hii vita ni kubwa na ina baraka za wapuuzi waliopewa madaraka. Nchi zenye watu wenye akili system haiwezi kuruhusu huo ujinga.

Halafu tuache kuzunguka Mwigulu Nchemba anatajwa kuratibu shughuli ya kuhujumu Simba Day
 
Waziri wa tozo hatari sana zee la n card akipata u rais simba inafutwa rasmi kwa amri toka juu
N- card ni namna ya kuihihujumu Simba viongozi wa Simba walitakiwa waachane Na hii kampuni mapema sana wanafanya Hila tiketi haziuzwi ili uwanja kesho usijae ukienda kununua ticket mtandao uko chini viongozi shitukeni muda umekwisha Manara atajiona Mungu mtu mkishindwa kuujaza uwanja kesho langu jicho
 
Simba kia asili ilianzishwa na wakoloni ili kudhoofisha jitihada za Yanga kudai Uhuru. Kazi ya kuanzishwa Simba walipewa Wahindi ambao kwa kipindi hicho walikua raia daraja la Pili baada ya Wazungu ambao walikua watu daraja la kwanza.
Wenyeji(Simba) walitumika tu ili kuisaliti na kuidhoofisha Yanga ili wajitoe kwenye timu ya Wa Afrika(Yanga) na kuanzisha timu impya yenye ufadhili Wa wahindi.
Zawadi ya wale waliosaliti Yanga ni timu kununuliwa viatu vya kuchezea mpira. Kwa ujumla Yanga ndio nchi na Nchi ndio Yanga, Simba nikama wahamiaji waliopewa hifadhi sasa wasilalamike saana wakubaliane ma hali halisi nature ndio IPO hivyo.
 
Kuna watu wamekuwa wakinong'ona kuwa Taifa letu limelogwa na hivyo tutahangaika sana kama taifa kujiletea maendeleo. Nilikuwa siamini ila sasa nimeanza kuamini. Kwanini?

Kuna mambo fulani yanayoendelea kwenye siasa,uchumi,jamii yanavunja moyo sana.Lakini huku kwenye soka ni kabisaaa..!

Kabla sijaenda mbali nikupe sifa moja kati ya nyingi za wachawi: huwa hawapendi maendeleo na mafanikio.Kama ndugu zako ni wachawi,utawagundua utakapoanza kufanikiwa,sasa hivi huwezi kuwaelewa.

Ni hivi:Simba Sports Club imeonyesha mafanikio makubwa sana kwenye soka kwa miaka ya hivi karibuni na inaonekana ina nia ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa zaidi. Ila cha ajabu kuna viongozi serikalini wenye dhamana ya soka letu wametokea kuichukia sana Simba SC.Si kwamba zamani waliwahi kuipenda,No! ila chuki zao dhidi ya Simba wameanza kuzidhihirisha baada ya Simba kuingia kwenye take-off stage ya mafanikio.

Nasema hivyo kwasababu;

1.Inakuwaje Simba SC ambayo imeliletea Taifa letu heshima kubwa ichukiwe na inyanyaswe huku serikali yote ikiwa kimya? (rejea suala la N-Cards). Nchi yetu isingekuwa na mindset ya kichawi Simba ilipaswa ipongezwe na ipewe support siyo kunyanyaswa.

2.Iweje Serikali na Media takribani zote wawe Pro-Yanga na kuiweka kando Simba? Kila kukicha ni kuipigia chapuo Yanga hii hii inayolidhalilisha taifa kwa 'kupigwa nao' na akina Kapumbu,Isaac Shamtompa na wenzake. Juzi tena ikafanyiziwa na Rivers United nyumbani kwetu na kuiaibisha nchi ila bado Media Houses zinawapa Yanga airtime ya kutosha kuliko Simba .Kama si kulogwa ni nini?

3.Ni Simba SC ndio imesababisha leo tuna vilabu 4 vinavyotuwakilisha kwenye michuano ya kimataifa.Haijawahi kutokea hii. Lakini watu wako kimya kana kwamba Simba haijafanya lolote katika hilo na bado wanaenda mbele kuinyanyasa Simba.

Simba ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.Ni sawa na mtoto mwenye nyota ya mafanikio kuzaliwa katika familia ya kichawi...atafanikiwa kwa mbinde sana. Kuna wakati nimewaza:Simba nayo ikikata tamaa na hatimaye iachane na mipango mingine ya maendeleo iliyojiwekea (kwa sababu ya chuki dhidi yake) ndo tutapata maendeleo ya soka?

Kuishi ndani ya taifa lenye watu wenye roho za kichawi ni tatizo kubwa.KAMA WE UNAJIFANYA HUAMINI KAMA UCHAWI UPO NA UNAATHIRI MAENDELEO,UTAFIKIRI ULIZALIWA AMSTERDAM BADALA YA MSAMVU,HUWEZI KUNIELEWA. Ila nakushauri upatapo mafanikio usijifanye una huruma sana kwa ndugu zako kwa kuwapa misaada,utakufa mapema. Kama wazazi wake wanasemwa semwa ni 'wazee wa busara' usijaribu kuwajengea nyumba nzuri na kuhakikisha wanakula vizuri UTAKUFA MAPEMA uwaache ndugu zako wasio na mbele wala nyuma wakiishi maisha marefu.Uchawi haupendi mafanikio na Simba SC ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.
Yanga wamekula dala Congo 2019, dala misri 2019 mwaka huu wamekufa 4-0 wakiwa wamevaa visit Tanzania Heshima gani waliiyotuletea
 
Simba kia asili ilianzishwa na wakoloni ili kudhoofisha jitihada za Yanga kudai Uhuru. Kazi ya kuanzishwa Simba walipewa Wahindi ambao kwa kipindi hicho walikua raia daraja la Pili baada ya Wazungu ambao walikua watu daraja la kwanza.
Wenyeji(Simba) walitumika tu ili kuisaliti na kuidhoofisha Yanga ili wajitoe kwenye timu ya Wa Afrika(Yanga) na kuanzisha timu impya yenye ufadhili Wa wahindi.
Zawadi ya wale waliosaliti Yanga ni timu kununuliwa viatu vya kuchezea mpira. Kwa ujumla Yanga ndio nchi na Nchi ndio Yanga, Simba nikama wahamiaji waliopewa hifadhi sasa wasilalamike saana wakubaliane ma hali halisi nature ndio IPO hivyo.
Hawataki kusikia Hilo. Wao Simba sc Ni wasaliti wa Uhuru wa Tanganyika. Wenye kuipenda nchi yetu hatufunganani kwa Sina yoyote na Hilo Kolokolo sc.
 
Kuna watu wamekuwa wakinong'ona kuwa Taifa letu limelogwa na hivyo tutahangaika sana kama taifa kujiletea maendeleo. Nilikuwa siamini ila sasa nimeanza kuamini. Kwanini?

Kuna mambo fulani yanayoendelea kwenye siasa,uchumi,jamii yanavunja moyo sana.Lakini huku kwenye soka ni kabisaaa..!

Kabla sijaenda mbali nikupe sifa moja kati ya nyingi za wachawi: huwa hawapendi maendeleo na mafanikio.Kama ndugu zako ni wachawi,utawagundua utakapoanza kufanikiwa,sasa hivi huwezi kuwaelewa.

Ni hivi: Simba Sports Club imeonyesha mafanikio makubwa sana kwenye soka kwa miaka ya hivi karibuni na inaonekana ina nia ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa zaidi. Ila cha ajabu kuna viongozi serikalini wenye dhamana ya soka letu wametokea kuichukia sana Simba SC.Si kwamba zamani waliwahi kuipenda,No! ila chuki zao dhidi ya Simba wameanza kuzidhihirisha baada ya Simba kuingia kwenye take-off stage ya mafanikio.

Nasema hivyo kwasababu;

1.Inakuwaje Simba SC ambayo imeliletea Taifa letu heshima kubwa ichukiwe na inyanyaswe huku serikali yote ikiwa kimya? (rejea suala la N-Cards). Nchi yetu isingekuwa na mindset ya kichawi Simba ilipaswa ipongezwe na ipewe support siyo kunyanyaswa.

2.Iweje Serikali na Media takribani zote wawe Pro-Yanga na kuiweka kando Simba? Kila kukicha ni kuipigia chapuo Yanga hii hii inayolidhalilisha taifa kwa 'kupigwa nao' na akina Kapumbu,Isaac Shamtompa na wenzake. Juzi tena ikafanyiziwa na Rivers United nyumbani kwetu na kuiaibisha nchi ila bado Media Houses zinawapa Yanga airtime ya kutosha kuliko Simba .Kama si kulogwa ni nini?

3.Ni Simba SC ndio imesababisha leo tuna vilabu 4 vinavyotuwakilisha kwenye michuano ya kimataifa.Haijawahi kutokea hii. Lakini watu wako kimya kana kwamba Simba haijafanya lolote katika hilo na bado wanaenda mbele kuinyanyasa Simba.

Simba ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.Ni sawa na mtoto mwenye nyota ya mafanikio kuzaliwa katika familia ya kichawi...atafanikiwa kwa mbinde sana. Kuna wakati nimewaza:Simba nayo ikikata tamaa na hatimaye iachane na mipango mingine ya maendeleo iliyojiwekea (kwa sababu ya chuki dhidi yake) ndo tutapata maendeleo ya soka?

Kuishi ndani ya taifa lenye watu wenye roho za kichawi ni tatizo kubwa.KAMA WE UNAJIFANYA HUAMINI KAMA UCHAWI UPO NA UNAATHIRI MAENDELEO,UTAFIKIRI ULIZALIWA AMSTERDAM BADALA YA MSAMVU,HUWEZI KUNIELEWA. Ila nakushauri upatapo mafanikio usijifanye una huruma sana kwa ndugu zako kwa kuwapa misaada,utakufa mapema. Kama wazazi wake wanasemwa semwa ni 'wazee wa busara' usijaribu kuwajengea nyumba nzuri na kuhakikisha wanakula vizuri UTAKUFA MAPEMA uwaache ndugu zako wasio na mbele wala nyuma wakiishi maisha marefu.Uchawi haupendi mafanikio na Simba SC ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.
Kwa ulichoandika we ndo mchawi namba moja,wacha ulozie jombaa..
 
Sio kwamba we ndo una mentality ya kichawi kwa kutaka iongelewe na kupewa sapoti Simba tu??

Kwani ungeshauri yanayoikwamisha Simba yarekebishwe bila kuitaja Yanga ungepungukiwa nini?
Sijasema kwamba Simba tu ndo iwe inaongelewa.Hapa nazungumzia timu iliyoliletea heshima Taifa (Simba) kufanyiwa hujuma huku wale Waswahili swahili, mpira mdomoni,na wenye kuliaibisha taifa (Misukule FC) wakipewa umuhimu mkubwa.
 
Yanga wamekula dala Congo 2019, dala misri 2019 mwaka huu wamekufa 4-0 wakiwa wamevaa visit Tanzania Heshima gani waliiyotuletea
Usivunge kuongea codes hapa.Hiyo Simba iliyopigwa 5 si ndo iliingia robo fainali halafu Wacongo wakaishia kundini pamoja na kushinda hizo 5?nani mwenye hesabu kali hapo?

Waliotufunga 4-0 tulikuja kuwapiga 3-0, aggregate ikawa 4-3,sawa na 1-0.Cha ajabu ni nini we Chura SC?

Unajitoa akili huku ukijua kabisa kuwa masaa machache yajayo utarudiana na Rivers United kwa hisani ya Simba SC.Bila Simba usingeshiriki CL msimu huu.NA HIYO NDO HESHIMA SIMBA ILIYOLILETEA TAIFA.
 
Sio kwamba we ndo una mentality ya kichawi kwa kutaka iongelewe na kupewa sapoti Simba tu??

Kwani ungeshauri yanayoikwamisha Simba yarekebishwe bila kuitaja Yanga ungepungukiwa nini?
Nenda bar ya karibu anza kunywa.
 
Kumchukia anayeleta maendeleo ya soka na kuwezesha kupeleka timu 4 kimataifa (Simba) na kumpenda aliyedumaa kimaendeleo na aliyeliaibisha taifa juzi (Misukule SC) hiyo siyo mentality ya kichawi?
We ni mulozi...soma ulichoandika utaamini nachokwambia.
 
Back
Top Bottom