Nchi yetu hatutaki Ukabila, ni maneno ya Uhuru Kenyata baada ya mahakama kutoa hukumu ya Kesi ya Uchaguzi

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Huyu Bro amenifurahisha sana. Kila mtu Dunia Mzima amemuelewa, Kiongozi yeyote Ktk Karne ya leo anayewabagua watu kwa Makabila Yao, Jua huyo ni Kiongozi Mshamba Asiyekuwa na uwezo wa kuongoza wanyama, Well Done Kenyata
 
Sitaki Muunganishe hii kitu yangu, kwanza Leo ni IDD,sitaki stress, nimetulia mahali nakunywa safari lager yangu, pls chonde Mod
 
Kuna watu kama kina harakaharaka hawaamini kuwa kazi walizozifanya ilikuwa ni lulu kwa taifa.

Wemeendekeza njaa weeee sasa U-turn haipigiki

Kimsingi wametema bublish (bigijii) walizokuwa wakitafuna kwa karanga za kuonjeshwa
 
Back
Top Bottom