Nchi yetu haina dini, madhehebu ya Hindu na Sikh msijitenge

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,023
Ndugu zetu Watanzania wenye asili ya Asia, hasa madhehebu ya Hindu na Sikh hivi ni kwanini mambo ya kitaifa mfano Rais akitaka kuongea na viongozi wa dini nyie mnajitenga.

Mnajua nyie ni Watanzania wenzetu kuwa na asili ya Asia sio kuwa wewe sio Mtanzania. Hata wengine sisi ni weusi watanzania lakini babu zetu hawakua watanzania.

Msiwe na inferiority complex uchumi wa nchi hii mnachangia mno.

Mzee Kotecha diwani wa Mwanza na Mustafa Sabodo hawa wana mapenzi ya nchi yao Tanzania.

Jamani hapa ni kwenu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno la kwanza la wimbo wa taifa linasemaje..?? Afu useme nchi etu haina dini?
Ndugu zetu watanzania wenye asili ya Asia. Hasa madhehebu ya Hindu na Sikh hivi ni kwanini mambo ya kitaifa mfano raisi akitaka kuongea na viongozi wa dini nyie mnajitenga.
Mnajua nyie ni watanzania wenzetu kuwa na asili ya asia sio kuwa wewe sio mtanzania .
Hata wengine sisi ni weusi watanzania lakini babu zetu hawakua watanzania.
Msiwe na inferiority complex uchumi wa nchi hii mnachangia mno.
Mzee Kotecha diwani wa Mwanza na Mustafa Sabodo hawa wana mapenzi ya nchi yao Tanzania.
Jamani hapa ni kwenu



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina Maana Hawakuhudhiria Kwenye Ile Sherehe? Mbona Budha Walikwenda? Freemason Kama Taasisi Ya Dini Huenda Nao Walikuwepo Kwenye Ule Mualiko
 
Suggest you first check and confirm if they were indeed invited rather than just starting an assumption?
 
Sasa mbona wakina Kiranga wametengwa na hamuwatetei?
Kina Kiranga & co.akili kubwa hawanaga shobo na akili za kufikiri kutengwa ama la...tatizo la inferiority complex tunalo sisi waumini hasa wa dini ya Kikristo na Kiislamu.sad

...kina Kiranga & co...wao wako busy kuwaza waifanyie nini dunia ili pawe mahali pazuri pa kuishi...ni hayo tu kwa Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom