NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Ndugu zetu Watanzania wenye asili ya Asia, hasa madhehebu ya Hindu na Sikh hivi ni kwanini mambo ya kitaifa mfano Rais akitaka kuongea na viongozi wa dini nyie mnajitenga.
Mnajua nyie ni Watanzania wenzetu kuwa na asili ya Asia sio kuwa wewe sio Mtanzania. Hata wengine sisi ni weusi watanzania lakini babu zetu hawakua watanzania.
Msiwe na inferiority complex uchumi wa nchi hii mnachangia mno.
Mzee Kotecha diwani wa Mwanza na Mustafa Sabodo hawa wana mapenzi ya nchi yao Tanzania.
Jamani hapa ni kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app