Nchi yenye Rasilimali Kama Tanzania, unataka ujenge uchumi kwa pesa ya Miamala na muda wa hewani bila aibu?

Kwa jiografia ya nchi yetu yaani Bandari tu ilipaswa kutitajirisha achana na mambo mengine yote uliyotaja ,

Ila Kwa uzembe wetu tumeshindwa kuitumia na tunahangaika kujenga nyingine.
Pesa inaingia mifukoni mwao na kujitajirisha kwa walio madarakani na wabunge magari ya kifahari yasio na tija
 
Wachumi tulionao hawapewi nafasi kutoa mchango wao kwa taifa.
Wenye nyazifa ndiyo wanaoamini wanajua kila kitu, angalia sasa matokeo yake.
Waziri wa fedha ukimu assess anaonekana ametopea kwenye ulevi wa madaraka usiyo mithilika, hana lolote jipya.
Nchi hii tunahitaji kupata waziri wa fedha na uchumi wa kweli na anayeweza kuwashirikisha wachumi waliopo nchini kuinua uchumi wa taifa letu.
Rasilimali tulizonazo, ni aibu kuwanyanyasa wananchi kwa kuwatoza kodi na tozo kubwa kila kona.
 
Madelu anatulaghai tu tusimtilie shaka yeye ni Dr. wa uchumi, lakini hajawahi hata kufundisha uchumi kwenye chuo kikuu chochote, haijulikani hata kama amewahi kushauri maswala ya kiuchumi kwenye nchi yoyote ile na wala hatuoni machapisho yake kwenye majarida ya kimataifa na wala hatuoni mada zozote alizowahi kuziwasilisha kwenye makongamano ya kimataifa ya wataalamu wa uchumi.......jamaa anapenda kujimwambafy sana na uchumi wake wa tozo....
 
Kuna siku nilikua napitia psycholopidia nikaona "duniani maziwa wakuu yenye maji baridi hapo kumi halafu Matatu yapo Tanzania yan VICTORIA,TANGANYIKA na NYASA !!! Kweli nililia sana!???
 
Magufuli alikuwa na nia njema na Nchi hii kwa bahati mbaya baadhi ya watu walishindwa kumuelewa
Hapo nitakubishia mpaka mbinguni hakuwa na nia njema hata!!! Alikua mkabila sana sana sana sana hakufaaaa kabisa kuwa president!!!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom