Nchi yangu ya Gambia ilikuwa kawaida kuwaona wanajeshi kila mahali

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Hapo zamani za kale miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naishi na kufanya biashara zangu katika mji wa Banjul nchini Gambia.Rais wetu kipindi kile kabla ya kuondoshwa madarakani alikuwa anapenda kutembea na escort ya wanajeshi kila mahala ikitokea siku anatembelea soko au sehemu yeyote ile ilikuwa kawaida kuona gwanda za jeshi zikitawala na kutapakaa kwenye viunga vya Banjul ukizingatia mji ule wa Banjul ulikuwa mdogo.Rais Jammeh alimilikisha jeshi la watu wa Gambia vitengo vingi ilikuwa kawaida ukienda Kwenye shirika la maji safi na taka la Gambia kukuta uniform za jeshi.Sie raia tulizoea hali ile ikawa si kitu kigeni tena machoni kwetu.

Ilivofika wakati wa uchaguzi rais Jammeh akashindwa uchaguzi akataka atawale milele akawatapakaza majeshi yake kila kona safari hii haikuwa kawaida kama zamani tulivyozoea lakini bahati nzuri ndugu zetu wasenegali na Nigeria wakatusaidia kumuondosha na rais tuliyemchagua kihalali akapewa urais wake.

Kwasasa naishi zangu Windhoek Namibia ndipo nilipohamishia biashara zangu Ndugu zanguni kutoka bara moja.

tapatalk_1542731431881.jpeg
images%20(18).jpg
tapatalk_1542731434664.jpeg
 
Magufuli is doing marvelous things than yours.hakuna raia atakufa.usalama unaongezeka Uhuru kamili.tushakataa kuibiwa
 
Uibiwe una nini bwana wewe?labda hiyo tecno unayotumia kuingia humu maana hata akili humo kichwani nahisi zimeshapokwa na ccm.
Kutwa upo hapa Magufuli Magufuli Magufuli huyu mjomba'ako eti!
 
Magufuli is doing marvelous things than yours.hakuna raia atakufa.usalama unaongezeka Uhuru kamili.tushakataa kuibiwa
Hata kina Yahya Jameh walidai ni wazalendo wa kuigwa. Lakini waneondoka wamekomba hazina yote ya nchi

Pia yana mwisho.
 
Hapo zamani za kale miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naishi na kufanya biashara zangu katika mji wa Banjul nchini Gambia.Rais wetu kipindi kile kabla ya kuondoshwa madarakani alikuwa anapenda kutembea na escort ya wanajeshi kila mahala ikitokea siku anatembelea soko au sehemu yeyote ile ilikuwa kawaida kuona gwanda za jeshi zikitawala na kutapakaa kwenye viunga vya Banjul ukizingatia mji ule wa Banjul ulikuwa mdogo.Rais Jammeh alimilikisha jeshi la watu wa Gambia vitengo vingi ilikuwa kawaida ukienda Kwenye shirika la maji safi na taka la Gambia kukuta uniform za jeshi.Sie raia tulizoea hali ile ikawa si kitu kigeni tena machoni kwetu.

Ilivofika wakati wa uchaguzi rais Jammeh akashindwa uchaguzi akataka atawale milele akawatapakaza majeshi yake kila kona safari hii haikuwa kawaida kama zamani tulivyozoea lakini bahati nzuri ndugu zetu wasenegali na Nigeria wakatusaidia kumuondosha na rais tuliyemchagua kihalali akapewa urais wake.

Kwasasa naishi zangu Windhoek Namibia ndipo nilipohamishia biashara zangu Ndugu zanguni kutoka bara moja.

View attachment 940841View attachment 940842View attachment 940843
Nanga def?
 
Back
Top Bottom