Nchi yangu Tanzania

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Tanzania ndio nchi pekee ambayo watuhumiwa wa madawa ya kulevya wanaambiwa wajisalimishe wenyewe polisi lakini Mbunge aliyechaguliwa na wananchi anakamatwa, anakuwa harrassed na kusafirishwa usiku usiku kama jambazi kutoka Dodoma kuja Dar. Nalaani matumizi mabaya ya nguvu dhidi ya Mhe.Tundu Lissu. Kulikua na ulazima gani wa kumkamata wakati vikao vya bunge vikiendekea na mchango wake ukihitajika? Kulikua na ulazima gani wa kumsafirisha Dar usiku usiku kama jambazi? Hivi ingetokea ajali usiku huo Polisi wangejiondoaje kwenye conspirancy?? Kwani mngemwambia ajisalimishe mwenyewe angeshindwa? Yani hamuamini kama Mbunge anaweza kujisalimisha mwenyewe ila Wauza unga sio?? Anyways Mungu hajasinzia.!!
 
Back
Top Bottom