Nchi ya viwanda TANESCO Mungu anawaona

Joblee

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
1,470
1,586
Miezi zaidi ya miwili sasa umeme Siku moja upo inayofua haupo hususan mda wa mchana

Kwa mwezi mmoja tunapata umeme siku 14

Viwanda huwa vinachakata raw materials ili kupata bidhaa mwisho..

Kuna ndugu zangu wa welding nao no viwanda pia.. Nasema hivi kwa kuwa huenda kwenye viwanda vikubwa hamkati.. Fikiria kinyozi

Bado Mkulu anataka VAT mpaka kwenye vocha...

Natamani Dunia isimame nishuke...
 
wapi huko kwakweli mtaani kwetu umeme haujakatika karibu miez 6 sasa na ukikatika ni 15 minutes unarud unless kuwe na matengenezo kwa hili silalamiki aisee
 
Mkuu una point ya maana sana, nchi ya viwanda haiwezekani kamwe tena kamwe bila umeme wa uhakika narudia tena uhakika. Mfano nina saloon yangu lakini umeme unavyokatikakatika napoteza wateja je!! Mwekezaji wa mtaji mkubwa inakuaje??
 
Back
Top Bottom