shakur kimboka
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 268
- 357
Bora ujisahaulishe hivyo hivyo,Kuna nchi moja hapa hapa Afrika Mashariki ( nimeisahau Jina kwa sasa ) nasikia ina ' cases ' kama 1350 hivi za wenye COVID-19 na waliokufa hadi sasa ni zaidi ya 75 wanakimbilia 95 sasa. Na nasikia hiyo nchi ukitaka uwekwe ndani Wewe sema tu idadi Kubwa ya wenye COVID-19 utakiona cha Moto. Na hiyo nchi ilivyo ya Kishamba eti yenyewe inadhani kusema kuwa ina Maambukizi mengi ya COVID-19 ni aibu kwa Jumuiya ya Kimataifa ( Duniani )
Ni bahati mbaya sana hiyo nchi nimeisahau kwa Jina ila nikiikumbuka huko mbeleni katika huu huu Uzi wangu nitaitaja tu. Wenye Akili Kenya, Rwanda na Uganda wala hawafichi na wanaonyesha kweli kweli Juhudui zao katika Kupambana na COVID-19 na pia katika Kuwaokoa Watu ( Wananchi ) wao.
Sijui ni kwanini nimeisahau ghafla hiyo nchi. Naanza Kuzeeka ( Kukongweka ) sasa nadhani.
Tumehifadhi babu zako, wajomba na dada zako hapa kwa kipindi chote wakati hampo stable kiuchumi wala kisiasa(60s-90s) na wengi tumeshawafukia hapahapa kwenye ardhi yetu na hivi ndivyo mnavyo tulipa kwa ukarimu na utu wetu?
Kweli shukrani ya punda ni mateke na sisi tunazidi kujifunza kutokana na makosa tuliofanya mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app