Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

Unaiusia nafsi ya nchi gani?
Ifuate mkia Wa ruwanda....
Kwa Mwembamba.
 
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.
Mimi huwa nawapa haki yao October kila baada ya miaka 5, wewe Je?
 
Vimaneno maneno kama hivi ndivyo vilivyoleta genocide, naona hamkujifunza.
 
Mkuu Mimi nipo hapa Malawi je,ni nchi gani hiyo wenye Nyumba wameomba Kupunguza Kodi?
Ni nchi moja hivi viongozi wake kila mmoja anaamkaga na kitu chake..huyu ana hili yule ana lile..yaani ni vurugu tupu
 
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.
Sawa, mbona kesi zinaongezeka? Mfano bora ni upi ? Kuweka watu ndani tu au kucontain the disease?
Bila dawa au chanjo kuvumbuliwa, nchi zote duniani zitafeli kumaliza hili tatizo.
 
Acha ujuaji ww mtoa mada.
Unasema Rwanda mfano wa kuigwa mbona licha yalockdown yao Bado maambukizi yanazidi kuongezeka kuliko nchi zote za EA, mpaka kagame ameamua kuongeza mda wa lockdown mpaka 19 April?

Unasema nchi zinaficha data sahihi, twambie wewe unayejua zilizokamili.

Tatzo upinzani wako umekuharibu akili.

Nyie ndo mnapenda kila siku kusikia idadi ya wagonjwa wameongezeka TanzaniA.

Kwa taarifa yako hakuna lockdown Tanzania na Mungu mkuu yupo juu ya ardhi hii sasa.

Mnatumwa na mabeberu
 
Hata mi namshangaa mtoa mada, yani anahisi kila kitu ni fashion tu, hata lockdown kwake ni fashion ya kuigwa.

Si kila kitu Ni cha kuigwa. Nyie ndo mkipewa nchi mtaiuza

Mtoa mada usituaminishe unayoyaamini.
Sawa, mbona kesi zinaongezeka? Mfano bora ni upi ? Kuweka watu ndani tu au kucontain the disease?
Bila dawa au chanjo kuvumbuliwa, nchi zote duniani zitafeli kumaliza hili tatizo.
 
Mzee baba unaumia sana kuwa bongo?unaweza hama tu sisi ndo tulivyo tuache
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaiusia nafsi ya nchi gani?
Ifuate mkia Wa ruwanda....
Kwa Mwembamba.
[/QUOTE
Ni lipi alilokufanyia hadi umsifie kiasi hicho?
ama wewe ni mnyarwanda unayeandika ili tukusome humu?
Je ni kweli kwamba rais wako hana jema na nzuri alilolifanya kwako kwa habari hii ya corona?kiasi kwamba unapaswa kumsifia hata kidogo?.
Je ulitaka ufungiwe ndani ili ugawiwe msaada wa chakula ndipo ungesifu? na kama ndivyo basi ni vema ukayotoa maoni na ushauri wako nini kifanyike badala ya kuongelea mambo na Rais kutoka nchi nyingine ambaye hajawahi kukusaidia chochote wewe wala jamaa yako wa karibu.
Swala la kusema kwamba viongozi na nchi nyingine zinaficha taarifa za wagonjwa pengine ni uongo ama ninaweza sema ni uzushi na kama ukibisha basi ninakuomba badala ya kutoa lawama kwamba nchi inaficha taarifa wewe kwa sababu kwa kutumia majina unayotumia humu hayupo wa kukufahamu kiuhalisia kama wewe ni nani hasa basi tutajie baadhi ya waathirika wa corona unaowafahamu na ambao serikali hainawataja ila imewaficha.

ushauri wangu kwako ni kwamba unapaswa kuelewa kwamba si kweli kwamba yupo kiongozi wa nchi yeyote ambae anaweza kufanya ujinga wa kuficha maradhi hukunakifahamubya kwamba raia wake wataangamia kwa sababu ya kukosa kufahamu madhara yatokanayo na ugonjwa

na kama ingetokea kuwa ni
Kweli taarifa zimefichwa basi pia nakushauri ukae kimya kwa sababu pengine hiyo imeonekana lwamba ndiyo namna bora inayotoa maslahi mapana ya taifa kwani mimi na wewe shughuli zetu ni za kawaida sana lakini wapo watu tuliowaaminj kwa ajili ya usalama wa maisha na afya zetu nao hawa hawana kazi nyingine yeyote na hawalali usingizi usiku na mchana wakihangaika kuhakikisha kwamba mimi na wewe tuko tukiishi salama.

ipende nchi yako,wapende viongozi wako na mpende Rais wako
 
Mkuu kama sikosei utakuwa mnyarwanda na zaidi utakuwa INTORE au UMUMOTSI . Tupe data za watu waliyopewa chakula na unawezaje kuwafungia watu ndani ya nyumba week mbili then unakuja kuwapa kilo moja ya Mchele na unga kilo moja tena na hiyo ni baada ya watu kupiga kelele wakiuliza pesa yao ya Agaciro fund.
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka Rwanda ni Kama ka mkoa tu kwa nchi zingine, how do compare?

Back
Top Bottom