Nchi ya Huzuni, Umasikini, malalamiko na ubabe wa dola

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Demokrasia hakuna, Vyama vya upinzani wanalalamika- CCM hawataki kutoa huduma kwa wananchi, wananchi wameshtuka, wananchi hawaitaki CCM, CCM wanabaka demokrasia.

Wananchi wanalalamika umasikini, mfumuko wa bei, shilingi imedorora.

Wanafunzi hawana mikopo

Mishahara ya wafanyakazi

Ajira hakuna.

Kila kona utasikia wananchi wanalamamika.

Wachangiaji hapa wanalalamika, kwenye daladala wanalalamika, kwenye bar, kila mahali mjadala wananchi wamechoka. Hivi Vasco Da gama utafurahi kwa malalamiko yote hayo, hata kama una utajiri wa kutisha???
 
Back
Top Bottom