Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,687
- 149,903
Nazishauri nchi wahisani duniani kote kusitisha misaada kwa nchi za kiafrika zisizozingatia utawala wa sheria,zisizoheshimu demokrasia na zinazotumia dola kunyanyasa wapinzani hasa nchi zetu za kiafrika.
Wapinzani katika nchi za aina hiyo pia chukueni hatua kwenda Umoja wa Mataifa kupeleka malalamiko yenu na kuomba Umoja huo kuweka vikwazo kwa viongozi wa nchi hizo kusafiri katika nchi wanachama na hata viongozi wake wasiruhusiwe kushiriki vikao vya aina yoyote vinavyoandaliwa na Umoja huo.
Wakati umefika kwa Umoja wa Mataifa kubadili sera zake ili kusimamia ustawai wa demokraska duniani badala ya kuwa na sera zinazolenga zaidi kudhibiti vikundi vya kigaidi na mambo mengine ya aina hiyo.
Mahakama ya kimataifa ya ICC nayo itazame upya sera zake kwa kuacha kutazama baadhi makosa kama makosa madogo yasiyofaa kushughulikiwa na mahakama hiyo.
Ninaomba Donald Trump awe Raisi wa Marekani maana huenda akatutia adabu.Ukifiri kwa makini unaweza kuona ni kweli baadhi ya nchi za Kiafrika zinastahili kutawaliwa tena na pia unaweza kujikuta unayakumbuka na kuyakubali baadhi ya maneno yaliyowahi kutamkwa na aliekuwa Raisi wa Afrika kusini, bwana P.W.Botha kuhusu Waafrika kujitwala.