Nchi Nzima Hakuna Mvua, Serikali Ina Mkakati Gani na Tatizo La njaa?

Mshangai

JF-Expert Member
Feb 16, 2008
468
1,085
Jamani hali ya mvua ni tata nchi nzima kwa hiyo ni ishara kuwa lazima njaa itakuwa kali nchini mwaka ujao. Lakini mbona serikali haionyeshi kuwa inao mpango mkakati wa kukabiliana na baa hilo linalo tunyemelea?
Au bado tunasubiri mpaka hali itakapo kuwa mbaya ndio tuanze kukimbizana kutafuta utatuzi? Mipango ya zima moto itaisha lini nchi hii hasa katika maswala ya hatari kama hayo?
 
Ni wananchi kujiandaa tu, serikali ina mambo mengi mno, haiwezi kumlisha kila mtu mwenye njaa
Walitoa tahadhari, labda wasisitize tena wananchi wajiwekee akiba
 
Jamani hali ya mvua ni tata nchi nzima kwa hiyo ni ishara kuwa lazima njaa itakuwa kali nchini mwaka ujao. Lakini mbona serikali haionyeshi kuwa inao mpango mkakati wa kukabiliana na baa hilo linalo tunyemelea?
Au bado tunasubiri mpaka hali itakapo kuwa mbaya ndio tuanze kukimbizana kutafuta utatuzi? Mipango ya zima moto itaisha lini nchi hii hasa katika maswala ya hatari kama hayo?
wabongo bhana hatari sana.
 
Wewe una mpango gani?
 
hahhahaja mkuu ushaanza kukosa chakula huko ulipo? Lakini juzi wakiwa singida wameomba mvua inyeshe.
 
Jamani hali ya mvua ni tata nchi nzima kwa hiyo ni ishara kuwa lazima njaa itakuwa kali nchini mwaka ujao. Lakini mbona serikali haionyeshi kuwa inao mpango mkakati wa kukabiliana na baa hilo linalo tunyemelea?
Au bado tunasubiri mpaka hali itakapo kuwa mbaya ndio tuanze kukimbizana kutafuta utatuzi? Mipango ya zima moto itaisha lini nchi hii hasa katika maswala ya hatari kama hayo?

Kwenye red: hivi Lindi iko Tanzania? Tanzania nzima hakuna mvua?
 
Watu mkiambiwa mjitokeze kwenye UKUTA mnabaki mkikenua kama Manyumbu

Sasa mtakula jeuri yenu!
 
serikali ya matukio,,ngoja tukiskosa ndio watajua...sasa hivi bado sana.
 
Je ,kama ww mzalendo na raia wa Tz unaanza na mkakati gan ili Jamii ianze na mfano kutoka kwako? ????
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom