nchi nyingine zimeweza inakuwaje tz tunashindwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nchi nyingine zimeweza inakuwaje tz tunashindwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jul 19, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  tatizo la uchakachuaji mafuta,linaonekana limewashinda EURA,matokeo yake imekuwa siasa 2u!wakaona suluhisho ni kupandisha bei ya mafuta ya taa.wiki jana nilikuwa RWANDA,e bwana nimeshuhudia madreva watatu,wa kitanzania wamekimbia na kuacha magari yao,kisa mafuta yamepimwa na kuonekana ya mechakachuliwa.na wanajua adhabu yake ni jela tu kifungo kisichopungua miaka minne!hapa kwetu jamani siasa zitatumaliza.na kwa sasa madreva wame apa kabla ya kuingia rwanda ni eti lazima wawe wamejiridhisha "beyond reasonable doubt"kuwa mafuta ni safi,kuogopa kibano cha kwa kagame,
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hili tatizo Zambia walilimaliza miaka ya 90 kuna dawa inaongezwa kwenye mafuta ukiongeza kitu tofauti inabadilika rangi hata hapa kuna muda TRA walianza naona kuna wajanja walizima program ile.
   
 3. s

  simjui mtu Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni magambazzzzzzzzzzzz!
   
Loading...