Nchi moja, akili tofauti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi moja, akili tofauti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurzweil, Jul 3, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,749
  Trophy Points: 280
  Mkurugenzi mkuu wa NHC, Nehemia Msechu amesaini mkataba wa mkopo na benki ya dunia wa sh bil 26...kwa ajili ya mradi wa nyumba za kisasa....majuzi Lukuvi katuambia walitumia bil 27 kwa sherehe ya siku moja ya uhuru..Tafakari 2015 Chukua hatua.
   
Loading...