Nchi kweli ilioza! Mtu mmoja anapitisha Makontena 800-1000 kila mwezi bila kulipia?!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,927
22,076
Nasoma gazeti la dira.nasikia.kichefu chefu mbaya sijala nkaona kizungu zungu dah nchi ilikuwa ishaozaa hii badokunukaa....shikamoo magufulii...
 

Attachments

  • IMG-20151207-WA0033.jpg
    IMG-20151207-WA0033.jpg
    127.2 KB · Views: 1,006
  • IMG-20151207-WA0023.jpg
    IMG-20151207-WA0023.jpg
    121.8 KB · Views: 904
  • IMG-20151207-WA0009.jpg
    IMG-20151207-WA0009.jpg
    146.1 KB · Views: 880
Mpwa huyo sijui alikuwa anapewa mabilion mangapi ktk kupitisha kwake hizo kontena 800
Hao huko self hawa stahili hata kupewa godoro la kulalia
 
Mpwa huyo sijui alikuwa anapewa mabilion mangapi ktk kupitisha kwake hizo kontena 800
Hao huko self hawa stahili hata kupewa godoro la kulalia
mPWA IPO SIKU TUTAANDAMANA.SABABU YAKE NASIKITIKA WALE MAFALA TRA WANAONDOKA.KISA VIMEMO ALAFU AWASEMI UKWELII..
 
Mpwa.kotely m najamaa mkubwa tu doraa walitishiwa sana na kutaka kufungiwa na.alietaka hizi taarifa upya n ikulu iliokanusha kazi imemfika mwenyewe watasoma no..
 
Back
Top Bottom