Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Tz ilistahili iwe nafasi ya 5, warembo wetu wako bomba saana,...
 
Naomba huo utafiti ukarudiwe na ikibidi niwepo khaa sio kwa dhihaka hiyo. Yaani umesema wakenya niniiii??? Uuuwiiii sijakubaliana na hilo
 
8a2c4850a79498cb942efc116fdd8583.jpg
Alituunganisha kinyemela bila sisi kujua.
 
Siyo kila mwanamke mrembo ni mzuri lakini kila mwanamke mzuri ni mrembo.
 
Humu jamvini mlidaiwa kuweka kwenye avatar zenu picha za warembo wa mitandaoni, hamwoni kama ninyi ndiyo washiriki wakubwa wa kudharau urembo wenu!

Hakika mkiweka kwenye avatar zenu, kama siyo picha zenu, basi za warembo wa TZ mtakuwa mmeutangaza urembo wenu.
We una uhakika hiyo siyo yangu???!
 
Tena wajinga kabisa...Ivory Coast? Kenya? Nigeria??????? labda waseme wazuri kwa kujipodoa...hakuna wanawake fake kama wa hizo nchi tatu..and I have been to all...Aisee Wadada wa Kitanzania ni wazuri...ukitembea tembea ndo utaweza ku-appreciate hilo!

Aliyefanya hii research mwambieni hatutaki ujinga!!!! Kenya? Mzuri kwao ni Vera Sidika ambaye tunajua umbo lake kalipata wapi...sasa huku kwetu wa hivyo wako wengi balaa...natural no make up! aaargh tunaharibiana siku tu na hizi takwimu uchwara.
Apo umenena aseee kula tano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom