eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,628
- 13,761
Hehehehe!!! Sikuoi, nakutia tu kisha unarudi kwa mumeo....
Kidogo ungejua English ningekuweka uwe kimada wangu, ila dayaspora wa Buza hapana.....hehehe
Hehehehe!!! Sikuoi, nakutia tu kisha unarudi kwa mumeo....
Kidogo ungejua English ningekuweka uwe kimada wangu, ila dayaspora wa Buza hapana.....hehehe
kwa akili kama hizi Afrika kuja kuendelea ni ngumu,Hehehehe Tatizo lenu wanawake mkiwa na nyege huwa na hasira hasira sana na hamusemi, unakuta mwanamke unakua mgomvi mgomvi na haeleweki tatizo lako, ila kwa sisi tunaojua siri yenu huwa kitandani, nakutia tu mpaka minyege inapungua yaani alfajiri unaniandalia supu....hehehehe hivyo punguza hasira mamiii, mwambie mumeo nyege zinakusumbua, au uje nizipunguze.
Hiyo GDP ifafanuliwe kwanza inapatikana je usije ukakuta pesa ya kina MO na kina Bahrsa na mali zao anagawanyiwa mtu ambae uwezo wa kitumbua kimoja kwa siku hana halafu tunajisifia mlo tusio ula kiuhalisia .
1. Nigeria
2. South Africa
3. Egypt
4. Algeria
5. Morocco
6. Kenya
7. Angola
8. Ethiopia
9. Ghana
10. Tanzania
Tanzania ina wastani wa watu million 60 ni watu ni wachache kwa nchi Kama Tanzania yenye rasilimali nyingi, bandari na Mambo mengi ni Jambo la kusikitisha ni vipi tunakuwa masikini ili hali sisi ni matajiri wa vitu ?Unatakiwa uangalie GDP per capita ama ppp kujua utajiri wa watu, Mara nyingi GDP inakuwa affected na wingi wa watu. Mfano kwa GDP India ni nchi ya tatu kwa utajiri duniani ila in reality wananchi wake ni masikini sana.
Kwa Africa Nchi kama Visiwa vya Shelisheli, Egpty, South Africa, Guinea, Gabon, Algeria na Mauritius ndio zina Ukwasi wa Maana.
Kwa hizi data kuna $30-40bil kwa Mwaka zipo Kwenye uchumi wa Tanzania Lakini hazijaingia Katika rekodi kwa sababu hazijakusanywa kama pato la kodi
Halafu mkiambiwa mlipe kodi mnaanza kulialia kama watoto wadogo? Ni kwa nini Watanzania hampendi kulipa kodi?Kwa hizi data kuna $30-40bil kwa Mwaka zipo Kwenye uchumi wa Tanzania Lakini hazijaingia Katika rekodi kwa sababu hazijakusanywa kama pato la kodi
Kenya ndio mnaongoza kwa kukwepa kulipa kodiHalafu mkiambiwa mlipe kodi mnaanza kulialia kama watoto wadogo? Ni kwa nini Watanzania hampendi kulipa kodi?
Kwa hizi data kuna $30-40bil kwa Mwaka zipo Kwenye uchumi wa Tanzania Lakini hazijaingia Katika rekodi kwa sababu hazijakusanywa kama pato la kodi
Kukwepa kodi ipo hata Kwenye mataifa makubwa duniani.Halafu mkiambiwa mlipe kodi mnaanza kulialia kama watoto wadogo? Ni kwa nini Watanzania hampendi kulipa kodi?