I Igurumuki Masanja JF-Expert Member Dec 25, 2016 783 1,613 Jun 20, 2019 #2 Mbona Tanzania mpya haimo au watakuwa wameisahau kuiandika
SK2016 JF-Expert Member Apr 6, 2017 7,971 13,661 Jun 20, 2019 #3 Dah! Kwa Awamu zilizopita, tungeiona Tanzania iliyoitwa kisiwa cha amani! Zama zimebadilika; wasiojulikana wametuharibia sifa yetu.
Dah! Kwa Awamu zilizopita, tungeiona Tanzania iliyoitwa kisiwa cha amani! Zama zimebadilika; wasiojulikana wametuharibia sifa yetu.
Odhiambo cairo JF-Expert Member Jul 11, 2015 15,989 22,057 Jun 20, 2019 #4 Tuna awamu ya kusifu na kuabudu. Watakuambia tunaongoza Africa kwa amani na utulivu . Wasiojulikana wameendekezwa, na kuwamaliza itakuwa kazi vile vile.
Tuna awamu ya kusifu na kuabudu. Watakuambia tunaongoza Africa kwa amani na utulivu . Wasiojulikana wameendekezwa, na kuwamaliza itakuwa kazi vile vile.
mr mkiki JF-Expert Member Sep 22, 2016 5,583 11,659 Jun 20, 2019 Thread starter #5 IDD MASANJA ATHUMAN said: Mbona Tanzania mpya haimo au watakuwa wameisahau kuiandika Click to expand... We hii ndio ripoti sahihi
IDD MASANJA ATHUMAN said: Mbona Tanzania mpya haimo au watakuwa wameisahau kuiandika Click to expand... We hii ndio ripoti sahihi
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 118,686 141,371 Jun 20, 2019 #6 Siyo kweli hata kidogo... Cc: mahondaw
mr mkiki JF-Expert Member Sep 22, 2016 5,583 11,659 Jun 20, 2019 Thread starter #7 Smart911 said: Siyo kweli hata kidogo... Cc: mahondaw Click to expand... Kwanini?