Nchi kumi duniani zenye idadi kubwa ya watu wenye UKIMWI

Mkuu wewemdiyo hujaelewa
Nimeweka wazi kwamba kigezo ninachotumia ni IDADI na siyo ASILIMIA sasa unapoongelea ratio au asilimia uelewe kwamba siongelei huko

Uwe unasoma utangulizi kwa makini mkuu mfano kuna mito yenye kina kirefu na mito mikubwa !!!
Nimependa jibu hili la kitaalamu
 
Usipanic mkuu, publication ya epidermiology ikiisha pita miaka mitano sio varied tena unless the same foctor remain constant. Sasa unacho bisha nini. Miaka kumi population growth itakuwa ipo constant mpaka leo. Wengine wamekufa, wengine wamezaliwa wengine wamehama nchi. So ukileta ishu kama hii jukwaani tujulishe kuwa ni za mwaka gani. Hii kwa watu wengine wanaweza hisi ni ya juzi kumbe ten years ago.
epi_core_2016.png

epi_plhiv_2016_regions.png
Shikamoo Africa!
 
Tanzania Ina 60 mil idadi ya watu, 1450000 ni kama 2 % ya nchi nzima. Ukimwi kumalizwa inawezekana, tamaa ya pesa wanawake waache na tamaa ya mwili wanaume tuache. mke mmoja mume mmoja kama injili inavyosema
Kwani ni sote tunafuata injili Mkuu
 
Baada ya vita ya Kagera wanajeshi walirudi na mashati ya viscose ya maua maua enzi hizo yaliitwa Juliana. Lakini wengi wa wavaaji wa mashati hayo walikuwa na LUKU
Nadhani hayo mashati ndo yale ya mtumba ambayo wanaita shati ya jolijoli au ujiuji... lakini ilikuwaje yakaitwa hivyo, hem tupeni uzoefu hapo
 
Nenda Kyela kwa Wanyaki mkuu kapige kavu kwa mademu kama 5 tu ukijikita salama itabidi uchinje mbu
Bitoz kuhusu Kyela nakuunga mkono kwa asilimia 500 maana nimeishi huko zaidi ya miaka 35 nawajua in and out ninamtoto wa 23yrs na mnyaki wa Kyela wale wadada wahuko hawajui kukataa mkuu niliwamega hata idadi sikumbuki naamini 150+ aisee kibaya zaidi wanaume wa Kyela 95 percent wanamagovi Sasa wakipata mwanaume aliye circumcised wanaenjoy sana sex na ndy wilaya inayoipandisha chart ya maambukizi mkoa wa mbeya
 
Mkuu mimi pia ni mdau wa nyanda za juu kusini
Kule Kyela ni janga tu
 
Waganda hawafiki watu milioni 45 na pia Kenya haina watu milioni 48. Fanya reseach upya hata Nigeria haina uakika na watu wake hawajawai kufanya takwimu makadirio yao ni 120 milioni na 160 milioni
 
Waganda hawafiki watu milioni 45 na pia Kenya haina watu milioni 48. Fanya reseach upya hata Nigeria haina uakika na watu wake hawajawai kufanya takwimu makadirio yao ni 120 milioni na 160 milioni
IMG_20180914_213621.jpeg

Haya niletee takwimu zako kuhusu idadi ya Wakenya na Waganda

Pia umenilisha maneno hakuna nilipoandika Waganda wapo Milioni 45
7/Uganda
207c189bfcc8e997a6076992305bd421.jpg
c028b24921ea113a8847b6c3bc014628.jpg
0e8613c3dd4f9cbd0a2d73d52b4f7489.jpg

Wangekosekana Waganda ningeandamana !!
Nani hamjui Iddi Amin Dada ? Dikteta orijino na mbabe aliyekuwa analalisha kitambi chake kwa kila mwanamke nzuri aliyemtamani....Alikuwa na furushi la watotohata idadi kamili sijui
Yoweri Museveni anaongoza nvhi yenye idadi ya watu takribani 41,000,000
Inaaminika Ukimwi uliingia Tanzania ukitokea ncjini humo ambapo enzi hizo za miaka ya 70 ulijulikana kwa jina la Juliana na mgonjwa wa kwanza kupatikana huko Kagera

Waganda waliokanyaga miwaya wanafikia 1,250,000

Halafu lengu kuu ya hii mada ni maambuzi ya virusi vya UKIMWI siyo kujadili idadi ya watu
 
Back
Top Bottom