Nchi kumi duniani zenye idadi kubwa ya watu wenye UKIMWI

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,538
Wapo watu wanaoamini hakuna ugonjwa uitwao Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) hawa wamejikita kinadharia zaidi
Wapo pia wanaodai ugonjwa huu unatibika ila Wazungu hawataki kutengeneza dawa ya kuutokomeza kabisa ili tu kupunguza kizazi cha Waafrika....hii nayo ni nadharia tu
Zamani mtu akiwa na UKIMWI ilikuwa sio siri maana angeharisha,angekohoa kutwa nzima,angetoka mapele,angekuwa na ukurutu,angekpnda
Ila nowadays kuna dawa za kupunguza makali {ARV) kumjua mwenye ngoma au asiye nao ni ngumu.....watu wanaungwa kwenye grid ya Taifa bila kujijua

Sasa tuangalie nchi kumi zenye idadi kubwa ya watu wewanaoishi na VVU

......... ... .. ................................................. ...
NB
Kigezo siyo % bali idadi hivyo kinara wa VVU duniani kwa % ni Swaziland ila hayupo sababu nchi yao ni ndogo kwa idadi ya watu
.........................................................................

Kwa asilimia ya watu wazima wenye VVU mambo yapo hivi.
1/Swaziland 25%
2/Lesotho 24%
3Botswana 21%
4/Afrika Kusini 18%
5/Namibia 14%
6/Zimbabwe 13%
7/Zambia 12%
8/Msumbiji 11%
9/Malawi 9%
10/Uganda 8%
............................................................................

10/Russia
c545a918b479cada43ed2901a93ed4a8.jpg
1efa64842ef7d0040a53068dbbcd0e24.jpg

Ni Taifa kubwa duniani kiuchumi,kijeshi n.k
Ni nchi yenye idadi kubwa ya watu takribani Milioni 150...Ni miongoni mwa nchi kumi zenye watu wengi duniani na wanaongezeka tu kwa kasi
Nani kasema UKIMWI ni wa watu weusi tu ? Hata Wazungu wanaugua

<Warusi takribani 1,000,000 wana ngoma
 
Last edited:
9/USA
33ce3b1fe0077d19c912d013cebdecb0.jpg
8f92d18ea33ee8f68031957e7fd5eb5f.jpg

Marekani pia hachomoki
Pamoja na ngebe na kujiona wao ndo kila kitu duniani ila jamaa nao wanakanyaga tu miwaya kama Waafrika
Donald Trump anaongoza taifa lenye watu zaidi ya 320,000,000 hivyo siyo kazi ndogo
Weusi ndio walioathirika zaidi mfano Arthur Ashe ambaye alikuwa ni staa mweusi wa tenisi ni miongoni mwa waathirika wa mwanzo mwanzo ila siku hizi mastaa kibao tu wameathirika na VVU
Kama mnavyojua sisi watu weusi ni bangi,pombe,ngono ndo vitu tunavyovimudu

Wamarekani takribani 1,200,000 wanaishi na VVU
 
Deception hebu ukuje huku...

Huyu Bitoz simuelewi kabisa
 
8/Zimbabwe
0c8fcbfac8385de0ecacfcb032f60fef.jpg
76225dc5975ce0731c5d3219b78981a3.jpg

Haiwwezi kushangaza maana mzee wao Robert Mugabe kila siku wanamlisha maneno/nukuu kuhusu ngono huku yeye mwenyewe akiwa anamiliki dogodogo
Kwa Wazimbabwe jina Ngoma ni maarufu kwao sijui lina maana gan nyingine zaidi ya Ukimwii mi namjua Donald Ngoma pekee
Nchi ya Zimbabwe ina idadi ya watu zaidi ya 16,500,000

Wazimbabwe wenye Ukimwi wanafikia 1,201,000
 
7/Uganda
207c189bfcc8e997a6076992305bd421.jpg
c028b24921ea113a8847b6c3bc014628.jpg
0e8613c3dd4f9cbd0a2d73d52b4f7489.jpg

Wangekosekana Waganda ningeandamana !!
Nani hamjui Iddi Amin Dada ? Dikteta orijino na mbabe aliyekuwa analalisha kitambi chake kwa kila mwanamke nzuri aliyemtamani....Alikuwa na furushi la watotohata idadi kamili sijui
Yoweri Museveni anaongoza nvhi yenye idadi ya watu takribani 41,000,000
Inaaminika Ukimwi uliingia Tanzania ukitokea ncjini humo ambapo enzi hizo za miaka ya 70 ulijulikana kwa jina la Juliana na mgonjwa wa kwanza kupatikana huko Kagera

Waganda waliokanyaga miwaya wanafikia 1,250,000
 
6/Tanzania
b5e9862b99de48f07f6b30cd90f18375.jpg
c16a4b256f13497398534296038f03b9.jpg
0433b3e24ac3860e534d8b6e28132747.jpg

Mwanamuziki matata wa kipindi hicho Ferouz aliimba Starehe zimemponza .....Mwanafalsafa alivyo mmbea akasema marehemu Anekufa kwa ngoma
Kapteni John Komba{RIP} nae pia akaimba kivyake wimbo kuhusu Ukimwi
UKIMWI ni janga nchini Tanzania binafsi ni mtu wa Green City na nimezika ndugu wengi kutokana na hili janga ambalo kwa Tanzania Mbeya ni miongoni mwa vinara....
Wanyaki kwa kupenda ngono nafikiri wanajulikana ila pia sababu nyingine ni ya Kijiografia
Kwa wasanii Twanga Pepeta wamepukutishana wenyewe kwa wenyewe kutokana na kupasiana nasikia kuanzia Banzastone,Aisha Madinda,Diana Aston Villa,Abou Semhando(alifariki kwa ajali) wote walikuwa na ngoma huku Ally mzee wa mafarasi naye nasikia yumo
Tanzania ina idadi ya watu zaidi ya Milioni 50

Watanzania zaidi ya 1,400,00 wamejiunga grid ya taifa
 
Last edited:
9/USA
33ce3b1fe0077d19c912d013cebdecb0.jpg
8f92d18ea33ee8f68031957e7fd5eb5f.jpg

Marekani pia hachomoki
Pamoja na ngebe na kujiona wao ndo kila kitu duniani ila jamaa nao wanakanyaga tu miwaya kama Waafrika
Donald Trump anaongoza taifa lenye watu zaidi ya 320,000,000 hivyo siyo kazi ndogo
Weusi ndio walioathirika zaidi mfano Arthur Ashe ambaye alikuwa ni staa mweusi wa tenisi ni miongoni mwa waathirika wa mwanzo mwanzo ila siku hizi mastaa kibao tu wameathirika na VVU
Kama mnavyojua sisi watu weusi ni bangi,pombe,ngono ndo vitu tunavyovimudu

Wamarekani takribani 1,200,000 wanaishi na VVU
Hizo takwimu za kusema watu weusi tunaongoza kwa bangi,pombe na mademu umezitoa wapi???
 
Kwa USA wanasema African Americans and Latinos ndio wengi wamekanyaga miwaya.
IMG_20180727_140836.jpeg
Screenshot_20180727-140758.jpg

Ndicho nilichoabdika mkuu na kumtolea mfano Arthur Ashe ambaye ni miongoni mwa watu wa mwanzo kujitangaza hadharani
 
Back
Top Bottom