kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 125
- 8
Hivi ni sifa nchi kukopesheka?
sio sifa wala nini... ni upuuzi tuu wa watu wa magharibi...kwani wewe tangu uzaliwe ushaskia marekani au uingereza na hata ujerumani zimekopa?...kwa nanai? na kwanini zikope?...si hazikopesheki..means ziko safi kiuchumi...ahahaha.... natamani ifike siku tanzania nayo "ISIKOPESHEKE"
we mwehu marekani wenyewe huwa wanakopa kwa australia kwa taarifa yako..nchi ambazo hazina madeni kabisa ipo australia na nchi za scandinavia..marekani, uingereza na kwingineko madeni mtindo mmoja cheki takwimu za imf na world bank..australia clean, na marekani huwa wanachukua mpunga huko sometimes...kalaga baho..
hivi ni sifa nchi kukopesheka?