Nchi kukopesheka!

sio sifa wala nini... ni upuuzi tuu wa watu wa magharibi...kwani wewe tangu uzaliwe ushaskia marekani au uingereza na hata ujerumani zimekopa?...kwa nanai? na kwanini zikope?...si hazikopesheki..means ziko safi kiuchumi...ahahaha.... natamani ifike siku tanzania nayo "ISIKOPESHEKE"
 
we mwehu marekani wenyewe huwa wanakopa kwa australia kwa taarifa yako..nchi ambazo hazina madeni kabisa ipo australia na nchi za scandinavia..marekani, uingereza na kwingineko madeni mtindo mmoja cheki takwimu za imf na world bank..australia clean, na marekani huwa wanachukua mpunga huko sometimes...kalaga baho..
 
ahahahahaaa,..... soo mnataka kuniambia nini??... kukopesheka ni sifa?..au kununua mpunga na kulipa kesho ni kosa?...au scandnavian countries hazikopesheki means pesa yote duniani wanayo wao sio so are super rich countries?.... ahahahahaa
 
we mwehu marekani wenyewe huwa wanakopa kwa australia kwa taarifa yako..nchi ambazo hazina madeni kabisa ipo australia na nchi za scandinavia..marekani, uingereza na kwingineko madeni mtindo mmoja cheki takwimu za imf na world bank..australia clean, na marekani huwa wanachukua mpunga huko sometimes...kalaga baho..

hee!hii nimeipenda!sikujua kama Marekani pia wanakopa
 
Back
Top Bottom