Nchi kukopesheka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi kukopesheka!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kachumbari, Dec 7, 2010.

 1. k

  kachumbari Senior Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi ni sifa nchi kukopesheka?
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  sio sifa wala nini... ni upuuzi tuu wa watu wa magharibi...kwani wewe tangu uzaliwe ushaskia marekani au uingereza na hata ujerumani zimekopa?...kwa nanai? na kwanini zikope?...si hazikopesheki..means ziko safi kiuchumi...ahahaha.... natamani ifike siku tanzania nayo "ISIKOPESHEKE"
   
 3. b

  bob giza JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mwehu marekani wenyewe huwa wanakopa kwa australia kwa taarifa yako..nchi ambazo hazina madeni kabisa ipo australia na nchi za scandinavia..marekani, uingereza na kwingineko madeni mtindo mmoja cheki takwimu za imf na world bank..australia clean, na marekani huwa wanachukua mpunga huko sometimes...kalaga baho..
   
 4. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Marekani anadaiwa na China kichizi!!!
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahahaaa,..... soo mnataka kuniambia nini??... kukopesheka ni sifa?..au kununua mpunga na kulipa kesho ni kosa?...au scandnavian countries hazikopesheki means pesa yote duniani wanayo wao sio so are super rich countries?.... ahahahahaa
   
 6. N

  Neytemu Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hee!hii nimeipenda!sikujua kama Marekani pia wanakopa
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  si mna madini chini nyie....si mna kila kitu wanachotaka.....mnakopesheka!!!!!!!!!
   
Loading...