Nchi kubwa sasa kuongozwa na Wanawake.......maajabu!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
Kule Ujerumani kuna mama Angela Merkel, hata wanaume wanamuogopa.
Marekani anakuja mama Hillary Clinton.
Uingereza ndo anaingia mama Theresa May.

Hapa Kazi Tu, tujitayarishe na feminine diplomacy!

image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
hv hao wamama wakipata hayo madaraka waume zao huwa wanapewa ulinzi kama ule wanaopatiwa FIRST LADY na huwa wanaitwajE kwa kidhungU?
Na kulipwa analipwa na ulinzi anapewa na hata baadhi ya safari anaenda na nae
 
Back
Top Bottom