Nchi kama Tanzania ukiwa CHADEMA ni tatizo kubwa sana

Sep 16, 2021
4
10
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.

Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.

Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?

Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?

ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.

CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.

Karibuni.
 
Mwenyekiti kaenda ikulu zaidi ya mara moja hadi kilichojadiliwa kule kimebaki kuwa siri yake.
 
Uzi huu unaonesha chuki binafsi dhidi ya CHADEMA na wala siyo tofauti za itikadi, ajenda, ilani, Uhuru, Haki, Maendeleo ya Watu n.k ambazo ndiyo hutabanisha chama kipi mfano CHADEMA kina simamia nini pia matamanio yake kama kikipata ridhaa ya wapiga kura ktk uchaguzi mkuu ulio huru na wa haki wakiingia ikulu nini watatekeleza.
 
Hakuna Chama kisicho na Mapungufu madhali vinaongozwa na wanadamu, ila Kuna vyenye Mapungufu zaidi...

kidumu Chama Tawala
 
Umesema umefanya research ya siasa za maziwa makuu halafu ukaja na conclusion ya hovyo namna hii, mbona hujatuonesha hao waliotoa vijana ni vyama gani?

Tambua, Chadema inazalisha vijana wapya kila siku, ndio maana CCM wakiwachukua wanaenda kupewa madaraka huku UVCCM wakibaki kushangaa.

Hayo madai yako ya ukabila ni propaganda ya kizamani sana, Chadema sio chama cha kabila moja, hapa sioni haja ya kubishana.

Kuhusu mwenyekiti, kazi anayoifanya kuikuza Chadema inaonekana, CCM hawalali mpaka sasa wanalazimisha maridhiano, hapa napo hakuna haja ya kubishana, wazungu wanasema "Why fix it if it ain't broken?"

Halafu nimekushangaa zaidi unaposema Chadema ipo mitandaoni tu, wakati CCM wanaogopa Chadema wasiende field coz wanajua balaa lao, ndio maana wako radhi kuvunja sheria kwa makusudi ili kujaribu kuzuia impact ya Chadema.

Next time ukija huku, jipange vizuri.
 
Unasema for the past 10 years Chadema haijaibua vijana wa mfano?

Hawa walio rubuniwa na kutishwa na dikteta na kupewa madaraka walikuwa chama cha ukoo wenu huko ujiji?
Silinde, Katambi, Lijualikali, Nassari nk kwa kutaja wachache huwaoni?

Kabla ya kuandika kitu na kuleta JF home of great thinkers jaribu kushirikisha ubongo wako
 
Naikosoa Chadema kwa mambo mengi ila ulichoandika hapa ni rubbish...hasa niliposoma kuhusu ukabila, kuna watu kibao wameibuliwa na Chadema wakanunuliwa na mwendazake na kupewa vyeo vikubwa na wala sio hilo kabila unalomaanisha

Pia viongozi wengi prominent Chadema sio Wachaga ukiacha mwenyekiti wao. Itoshe kusema wewe ni mpunbavu mkubwa
 
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.

Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.

Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?

Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?

ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.

CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.

Karibuni.

Watakufaje wakati wapo online. Matusi na kashfa tu. Hawaamini hata katika neno Demokrasia pale unapoenda kinyume na mawazo yao. They are here to stay : online .
 
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.

Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.

Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?

Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?

ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.

CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.

Karibuni.
Wewe umerogwa na kama hujarogwa ni mwendawazimu kwelikweli,hizi siasa chafu wanazofanya ccm unaona zina manufaa.
 
Nenda zako Mtaa wa kijani tuachie Chama chetu pendwa Cha watanzania Tena uache kukuonea wivu🤔
 
SIASA ZA MAJI TAKA
 
Back
Top Bottom