Judister Gabriel Mlawa
New Member
- Sep 16, 2021
- 4
- 10
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.
Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.
Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?
Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?
ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.
CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.
Karibuni.