Uchaguzi 2020 Nchi ipo salama uchaguzi wa nini 2020

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Sioni umhimu wa uchaguzi wa 2020 bwana mkubwa alipaswa aendelee kutumbua tu Na kupiga kazi
Kama uchaguzi utafanyika ni matumizi mabaya ya pesa huyu alipaswa aendelee kuongoza akiamua kung'atuka sabu ya umri wake tutaangalia mbona mgabe alikuwa vizur tu

#pingauchaguzi
#magufuliforreal
#Tumekupanchimzee
 
1566633942867.jpeg
 
Back
Top Bottom