Nchi inategemea 35-40% kuendesha bajeti, tunajimwambafai huku uwezo wa kujihudumia hatuna

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1580643705552.jpg


Kwa makadirio makusanyo kwa mwezi ni kati ya tril 1.3- 1.5 ikiwa na maana tu akusanya kati ya shilingi tril 15 hadi 18 kwa mwaka wa fedha 2019/20.

Na bajeti ya mwaka 2019/20 makadilio yake ni tril 32 ambazo kwa makusanyo yatu tuna gep kati ya tril 14- 17 ambazo tunazipata kwa mikopo na misaada.

Tunapo jimwambafy kuwa tunaweza je tunaweza kweli au kiburi cha madaraka.

Je Makonda/Magufuli na CCM ndio Tanzania? Kwann hawabadiriki kwanini hawasikii na wanaishi kwa kodi zetu
 
Alidhani kujenga reli na kununua ndege kutaua upinzani. Angewekeza kwenye watu na kuwasikiliza watu wanataka nini yasingemkuta haya. Sasa ana wapinzani toka pande zote za dunia. Tuone atapambana nao vipi sasa.
 
Back
Top Bottom