Tanwise
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 466
- 1,032
Haya maigizo ya kutumbua majipu hayatusaidii.Nikiwa ni miongoni mwa watz wengi tunaopata msoto juu ya utendaji au uwajibikaji mbovu katika sekta mbalimbali.Kama maigizo haya yakutumbua majipu yataendelea basi ni upotezaji muda na ni mchezo wa kitoto wenye full assumptions.
Inaumiza sana ndani ya nchi hii kucheleweshewa haki..Ila haki haipotei bure mchawi ipo siku ataumbuka..Kama ni majipu basi kwa tz bado sana.
Chamsingi ni kuwekewa malengo na kanuni ili kila mfanyakazi ayatimize..