Nchi imetelekezwa na tuliowadhamini kuiongoza?

mdawa

Senior Member
Oct 29, 2010
104
37
Hali ya nchi hii kwa sasa ni mbaya kuliko maelezo yoyote. Hali ya taasisi za umma ambazo bado zipo hai ni mbaya sans na hakuna matumaini ya mabadiliko katika mfumo uliopo sasa.
Taswira ya haraka inaonesha kushindwa kwa viongozi kuongoza nchi.
Hali hii isiponusuriwa ni hatari kwa mustakabali wa nchi hii
 
Kwa mujibu wa Nape, sasa ndo wamegundua makosa yaliyofanywa na serikali ya CCM hivyo watarekebisha ndani ya miaka hii miwili na watayarudisha majimbo yote yaliyo chini ya Wapinzani.
1. Wataboresha Elimu-Vijana watapata kila kitu na elimu itakuwa juu tena.
2. Watasaini mikataba safi na Nchi itanufaika
3. Watawakamata walioficha mabilioni Uswiss
4. Watawavua Magamba wale wote waliotuhumiwa kwenye vikao vya Chama
5. Madawa ya Kulevya watadhibiti na itakuwa Historia
6. Ufisadi utakomeshwa kabisa
7. Tembo watapona hawatauawa Etna
8. Hawatanunua tena magari ya kifahari
9. Gesi sasa itachimbwa na wana CCM na sio makampuni ya kigeni
10. Ajira sasa itakuwa nje nje
11. Azimio la Arusha litarejea upya
12. Watu hawatabambikiwa kesi
13. Watuhumiwa wote watakamatwa mara moja
14. Taifa Stars itabeba Kombe la Dunia
15. Wananchi wa Kigamboni hawataambiwa kuogelea tena, wala wale watakaoshindwa kulipia umeme hawataambiwa watumie vibatari wala wale wenye kutaka kuwekeza kwenye gesi sasa hawataambiwa kujishughuliza na utengenezaji na uuzaji wa Juice
 
Mkuu bora hawa kuliko wanaokimbizana kila siku na kupigana matofari mtindo mmoja.
 
Mkuu yote haya bavicha mnafanya mbona hamfai kabisa heche anafanya nini hapo bavicha nenda kamtonye akikataa piga tofari.
 
SIMIYU YETU! Unaweza kuniambia heche ana nafasi gani serikalini? Jibu hoja
 
Back
Top Bottom