Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Kwani hao wapinzani wakiingia madarakani, mahakama,polisi, na tume ya uchaguzi zitabadilishwa majina?

kizazi kisichotambua hata majina yao ya ukoo, unafikiri watakumbuka mema ambayo ccm imefanya?

ccm haitabaki madarakani milele ila kuna sehemu itatufikisha
 
Nawewe basi Ni hayawani mmojawao kwa sababu Rais wakp ni Magufuli kwa miaka mitano iliyopita na mitano ijayo

Nawewe basi Ni hayawani mmojawao kwa sababu Rais wakp ni Magufuli kwa miaka mitano iliyopita na mitano ijayo
Hujanielewa,ninachosema ni kwamba jiwe anapenda kuwaongoza watu hayawani kama nyie,si kila mtu ni hayawani isipokuwa nyie wachache mnaoshobokea kuongozwa na jiwe bini kokoto
 
Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...

Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....

Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Oct 28 ni Lisu tu
 
Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana.

Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura. Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.

Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi. Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini. Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"
Maisha ni magumu sana siku hizi ukitaka kujua pata shida hata ya SH elfu 50 unaweza ukafa au kufungwa kwa kukosa mtu wa kukukopesha
 
Maisha ni magumu sana siku hizi ukitaka kujua pata shida hata ya SH elfu 50 unaweza ukafa au kufungwa kwa kukosa mtu wa kukukopesha
Rais akisikia hela imekuwa ngumu ndio anafurahi,moyo wake unafurahi atakuambia ukitaka pesa fanya Kazi watu wanafanya kazi hawalipwi mfano wazabuni kwenye mashule ya serikali ni aibu miaka 2 mtu hajalipwa, wafanyakazi wake wa serikali wana madeni hadi wanatembea wanaongea wenyewe ukimsalimia anakujibu hela za Likizo,hela za uhamisho, nyongeza ya mshahara nk ila yeye anatembea na mabunda ya hela anagawa.Wenyewe wanasema # mitano tena# Idiot!
 
Huku ni kujifariji tu ila ccm ndiyo ileile na njia zao za kuwafanya waendelee kuwa madarakani bado ziko vilevile hakuna kilichobadilika,sasa hapo mtu unaanzaje kutegemea matokeo kuwa tofauti?
Mwaka 2020 upo kivingine CCM lazima wakae
 
Rais akisikia hela imekuwa ngumu ndio anafurahi,moyo wake unafurahi atakuambia ukitaka pesa fanya Kazi watu wanafanya kazi hawalipwi mfano wazabuni kwenye mashule ya serikali ni aibu miaka 2 mtu hajalipwa, wafanyakazi wake wa serikali wana madeni hadi wanatembea wanaongea wenyewe ukimsalimia anakujibu hela za Likizo,hela za uhamisho, nyongeza ya mshahara nk ila yeye anatembea na mabunda ya hela anagawa.Wenyewe wanasema # mitano tena# Idiot!
Hata SGR wanadaiwa na wazabuni miradi yote ya kifisadi hawalipi madeni
 
Hata kwa lowassa Ililipuka Maana Wahuni Wapi Nchi nzima Ila Sisi kwenye Akili na Ufahamu Wa hali ya Juu ambao Ndio wapiga kura Tumetulia Tunajua cha kufanya hapo 28
Ya lowasa mwaka 2015 ni tofauti na lisu mwaka 2020 ambapo watanzania wameamka baada ya mateso manyanyaso ndani ya Miaka mitano
 
Nguvu mnayotumia kumnadi Lisu kama mngekuwa mnawanadi wagombea ubunge wenu mngekuwa mmefanya la maana sana

Mmeshachelewa na uchaguzi huu itakula kwenu wabunge watakaorudi ni robo ya wabunge mliopata 2015
Nguvu ipi wakati vyombo vya habari havipo huru? Hakuna usawa NECCCM Tumeccm na Polisiccm ni vyombo binafsi vya CCM nao Safari hii wanafanya kampeni na kuwahujumu kuwadhoofisha chadema, kwenye Ubunge majimbo mengi mmepora ubunge kwa njia haramu za kishetani eti kupita bila kupingwa kishetani kabsa, hata walipokata rufaa kwenye NECCCM Tumeccm hawakusikilizwa kabsa hakuna usawa kwenye demokrasia hata TBCCCM sasa ni mali binafsi ya CCM
 
Kwani hao wapinzani wakiingia madarakani, mahakama,polisi, na tume ya uchaguzi zitabadilishwa majina?

kizazi kisichotambua hata majina yao ya ukoo, unafikiri watakumbuka mema ambayo ccm imefanya?

ccm haitabaki madarakani milele ila kuna sehemu itatufikisha
itaundwa Tume huru ya uchaguzi na kuajiri watu wasio na itikadi yeyote na Polisiccm wataskukwa upya wataacha kuitwa jeshi la polis kwani wao siyo jeshi wataandaliwa kinidhamu zaidi na raia wataandaliwa kujua HAKI zao
 
Similar Discussions

68 Reactions
Reply
Back
Top Bottom