Kiongozi mkuu2020 umejisajili mwaka huu hii account ili uweze kutetea ugali wako huko Lumumba!AKIPATA ATA DIWANI MUMOJA BASI ATAKUA AMESHINDA. MIMI NAONA ANAHARIBU MAFUTA YA CHOPA BURE TUUU.
Kwani hao wapinzani wakiingia madarakani, mahakama,polisi, na tume ya uchaguzi zitabadilishwa majina?CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Nawewe basi Ni hayawani mmojawao kwa sababu Rais wakp ni Magufuli kwa miaka mitano iliyopita na mitano ijayo
Hujanielewa,ninachosema ni kwamba jiwe anapenda kuwaongoza watu hayawani kama nyie,si kila mtu ni hayawani isipokuwa nyie wachache mnaoshobokea kuongozwa na jiwe bini kokotoNawewe basi Ni hayawani mmojawao kwa sababu Rais wakp ni Magufuli kwa miaka mitano iliyopita na mitano ijayo
Kafanye utafiti mtaani,sio hapa jf.Mmepoteza mvuto.
Oct 28 ni Lisu tuZikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
We humsikilizi pumba zake anazoongea kwamba magufuli amevunja mikataba ya madini ambayo kisheria za kimataifa ni makosa kwa hiyo anataka akipewa ridhaa ya kuongoza nchi awarudishie mabepari madini yetuZinabinfishwa vipi sasa
Mbona we mwenyewe umeshaharibikaNendeni nyie matetezi ya ushoga mkajipigie kura..sisi tuliokataa watoto wetu wa
kiume wasiharibike kwa kufuata mkumbo tunaenda na Magufuli..nyie nendeni kwa wenzenu kule
Maisha ni magumu sana siku hizi ukitaka kujua pata shida hata ya SH elfu 50 unaweza ukafa au kufungwa kwa kukosa mtu wa kukukopeshaZikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana.
Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura. Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.
Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi. Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini. Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"
Eti ni mapamboRejeta zote za nn sasa
Kipimo gani? Cha kumsujudia Jiwe?Uhuru hautakiwi kuzidi kipimo.
Rais akisikia hela imekuwa ngumu ndio anafurahi,moyo wake unafurahi atakuambia ukitaka pesa fanya Kazi watu wanafanya kazi hawalipwi mfano wazabuni kwenye mashule ya serikali ni aibu miaka 2 mtu hajalipwa, wafanyakazi wake wa serikali wana madeni hadi wanatembea wanaongea wenyewe ukimsalimia anakujibu hela za Likizo,hela za uhamisho, nyongeza ya mshahara nk ila yeye anatembea na mabunda ya hela anagawa.Wenyewe wanasema # mitano tena# Idiot!Maisha ni magumu sana siku hizi ukitaka kujua pata shida hata ya SH elfu 50 unaweza ukafa au kufungwa kwa kukosa mtu wa kukukopesha
Mwaka 2020 upo kivingine CCM lazima wakaeHuku ni kujifariji tu ila ccm ndiyo ileile na njia zao za kuwafanya waendelee kuwa madarakani bado ziko vilevile hakuna kilichobadilika,sasa hapo mtu unaanzaje kutegemea matokeo kuwa tofauti?
Hata SGR wanadaiwa na wazabuni miradi yote ya kifisadi hawalipi madeniRais akisikia hela imekuwa ngumu ndio anafurahi,moyo wake unafurahi atakuambia ukitaka pesa fanya Kazi watu wanafanya kazi hawalipwi mfano wazabuni kwenye mashule ya serikali ni aibu miaka 2 mtu hajalipwa, wafanyakazi wake wa serikali wana madeni hadi wanatembea wanaongea wenyewe ukimsalimia anakujibu hela za Likizo,hela za uhamisho, nyongeza ya mshahara nk ila yeye anatembea na mabunda ya hela anagawa.Wenyewe wanasema # mitano tena# Idiot!
Ya lowasa mwaka 2015 ni tofauti na lisu mwaka 2020 ambapo watanzania wameamka baada ya mateso manyanyaso ndani ya Miaka mitanoHata kwa lowassa Ililipuka Maana Wahuni Wapi Nchi nzima Ila Sisi kwenye Akili na Ufahamu Wa hali ya Juu ambao Ndio wapiga kura Tumetulia Tunajua cha kufanya hapo 28
Mwaka huu watu wanalinda kura zao wakiwa na njaa sikilizia muziki wake,njaa huifanya akili ya mwanadamu ifikirie nje ya box!Mwaka 2020 upo kivingine CCM lazima wakae
Nguvu ipi wakati vyombo vya habari havipo huru? Hakuna usawa NECCCM Tumeccm na Polisiccm ni vyombo binafsi vya CCM nao Safari hii wanafanya kampeni na kuwahujumu kuwadhoofisha chadema, kwenye Ubunge majimbo mengi mmepora ubunge kwa njia haramu za kishetani eti kupita bila kupingwa kishetani kabsa, hata walipokata rufaa kwenye NECCCM Tumeccm hawakusikilizwa kabsa hakuna usawa kwenye demokrasia hata TBCCCM sasa ni mali binafsi ya CCMNguvu mnayotumia kumnadi Lisu kama mngekuwa mnawanadi wagombea ubunge wenu mngekuwa mmefanya la maana sana
Mmeshachelewa na uchaguzi huu itakula kwenu wabunge watakaorudi ni robo ya wabunge mliopata 2015
itaundwa Tume huru ya uchaguzi na kuajiri watu wasio na itikadi yeyote na Polisiccm wataskukwa upya wataacha kuitwa jeshi la polis kwani wao siyo jeshi wataandaliwa kinidhamu zaidi na raia wataandaliwa kujua HAKI zaoKwani hao wapinzani wakiingia madarakani, mahakama,polisi, na tume ya uchaguzi zitabadilishwa majina?
kizazi kisichotambua hata majina yao ya ukoo, unafikiri watakumbuka mema ambayo ccm imefanya?
ccm haitabaki madarakani milele ila kuna sehemu itatufikisha