Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Nimetafakari mabadiliko ya mienendo ya maisha kwa sasa na sina jina jingine la kuita hali ya maisha ya sasa zaidi ya mbuga za wanyama.
Kama umeshwahi kungalia filamu ya wanyama wa porini utajua mfumo wao wa maisha ni predatory life.
Yani umle flani, ili wewe upone.
Yani kwa sasa kila mtu amekuwa na hulka ya kumuonea mnyonge wake kutimiza azma yake. Anzia huko bara barani, wale waliopewa mamlaka wanawaonea kwa kiasi kikubwa wanyonge wenye vigari vyao. Yani hao jamaa wanataka magari ya kibongo yawe status kama gari ilipokuwa mpya huko Japan, ihali sisi ni watu masikini na tuanendesha mtumba. Ka kosa kadogo tu utapigwa faini balaa.
Ukienda maofisini, kakosa kadogo tu ma warning letter kibao. Hata kama kosa katenda boss, utashangaa mtu wa chini anabambikiziwa kesi na kuachishwa kazi au kupewa adhabu.
Kila kona hali ni hiyo hiyo. Bidhaa zinapandishwa kodi na mzigo mkubwa anaubeba mnyonge.
Kwa kweli japo siufagilii mfumo wa ujamaaa, mfumo huu wa kibepari umeyafanya maisha kuwa katili na kuishi inabidi mtu uwe na roho ya chuma...