Nchi imefanywa kuwa rough paper! Nasema hapana

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Nasema rough paper kwa sababu kila mtu anataka kujifunzia mwandiko mzuri,kusovia hesabu nk. Hadi wenye tuhuma nao wamevuta fomu ya upresidaa ili aingie kwenye jengo jeupee kama sanda. Poleni sana watz kwa kuwa na umskini wa fikra.

Mmebebeshwa sanduku la matatizo ukiwemo umaskini,elimu mbovu,hospitali mbovu nk. Lakini bado mnawaita majembe.

Hii nchi imekuwa ya kufanyia mazoezi kama mchezo wa kombolela au mchezo wa mimi baba wewe mama. Hadi mwigulu nchemba anataka urais? Maajabu ya dunia.

Nauliza tu,hivi ule ushahidi wa mbinguni na duniani ulishia wapi vile? Waongo kama huyu sijui alikuwa anazngumzia mbingu ipi?

Huu ni utani. Hadi wapigwe tu anataka upresidaa,masalalee! Nchi hii bila shaka ina mganga wake wa kienyeji. Kweli? Masihara.

Wanasema rais bora atatoka CCM,ubora ktk nini rushwa ama ufisadi? Msaada tafadhali! Na ccm ipi,ccm maslahi,CCM imani,CCM vibaka au CCM mafisadi? Nauliza tu.

Orodha ya matatizo ndio sera? Ama kweli,wajinga ndio waliwao. Wenzetu wanatumia mafanikio waliyoyapata wakiwa madarakani,hawa wa kijani wanatmia matatizo kuombea kura,je,huoni kuwa wanalea matatizo ili wayatumie kuombea kura.

Kiumbe kimoja(jina limehifadhiwa) kimesema kitaondoa foleni Dar ndani ya miezi sita,hivi kweli watz tumekubaliana na kauli hii?

Nikisema sisi watz ni wapumbavu na wajinga nitakuwa nimekosea(ashakum si matusi)?

Amekuwa Mp na akaukwaa upm aliwahi kutoa hata ushauri wa kuondoa msongamano Dar?

Shetani aliko anafurahia uwendawazimu wa watz. Shetani anawapenda walio wake,wezi,mafisadi,wala rushwa nk.
 
lowasa anabeba dhamana ya uongozi wa Taifa 2015,usiwaite watanzania wapumbavu wakati wanatumia haki yao ya kikatiba,umejaza pumba tupu kwenye mada yako
 
Kwa mfano,umeona kinye..si pembeni,utaendelea kukaa na kujiuliza nani kaachia mzigo huu? Ndg,upumbavu sip tusi labda rudi class.

yaani mambo unayoyaandika hata hayaeleweki,ulipata chai ya asubuhi na chakula cha mchana? pengine unasumbuliwa na matatizo mengine kabisa ila umehamishia hasira kwa mtu anayetumia haki yake ya kikatiba
 
Tatzo buku 7,sasa unachangia nini kama huelewi...kama vp uchungulie ule kona,shida iko wapi big?

uwe unaleta mada za maana,unatupa shida kuelewa umeandika nini....hivi shule hazijafunguliwa muende mabwenini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom