Nchi iko vitani kamanda yuko disko

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Hali ilivyo sasa ktk nchi hii nadhani sijakosea kusema yakuwa tuko vitani na adui tunaekabiliana nae ni GIZA.Wakati huu ambao adui ametuzidi nguvu kamanda wetu ameondoka kwenye uwanja mapambano na inasemekana yuko Afrika ya kusin anaponda raha.Waugwana naomba mnipe mwongozo je huyu ndo kamanda aliyewahidi wa-tz kuwa atailida nchi hii wakati wa mwanga na giza?
 
siahangai kwa sababu hii ni post yako ya tatu humu ndani.. karibu jamvini
 
Yes ndiye yeye haswa!!!! Lakini amerudi tayari, yuko nchini!!!!!

Tiba
 
anaendana na fani, ni msafi sharobaro, ambae sio rahisi kukaa gizani. Tanzania ina wenyewe na wenyewe ndo wao. We ni mkaaji tu.
 
siahangai kwa sababu hii ni post yako ya tatu humu ndani.. karibu jamvini
Nashukuru Ivuga kwa kunikaribisha,pili sidhani hoja hapa ni idadi ya post nilizokwisha tuma,nilicho omba ni mwongozo kutoka kwa waugwani wenye kuangalia uzito wa mada na si idadi ya post.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom