Nchi iko salama, hiki pia kinaweza kuwa tishio kwa usalama wa nchi

gibishi

Senior Member
Aug 12, 2016
182
268
Salaam....

Nchi yetu chini ya Amiri jeshi mkuu Dr Magufuli imekuwa salama na hali ya utulivu imekuwa juu sana kwa kipindi chote cha utawala wake. licha ya changamoto za hapa na pale kama vile mauaji ya Kibiti, uvamizi wa vituo vya polisi, na mambo mengine madogo madogo yenye kughasi usalama wa watu na mali zao ni ukweli kwamba nchi iko salama na wananchi wanafanya shughuli zao kwa amani na utulivu. Hongera sana Mheshimiwa Rais.

Naipenda nchi yangu, kwa miaka miwili sasa nimetokea kumpenda Mheshimiwa Rais na serikali yake na nishakula yamini ya kuwa mtiifu kwake na serikali yake milele. Hata hivyo ninayofuraha kuwasilisha mawazo yangu yafuatayo kuhusu usalama wa nchi kama ambavyo naweza kutoa maoni kuhusu siasa, utamaduni, nk.

SIASA ZA NCHI.
Hofu yangu kuu ni juu ya siasa za nchi miaka kadhaa ijayo, upinzani wa nchi unaweza kugeuka kuwa tishio kuu la kiusalama kama juhudi za kijasusi za kisiasa hazitachukuliwa.

TUNDU LISSU
Kapigwa risasi kaenda kutibiwa Nirobi, kuna maswali kadhaa ya kujiuliza...
1. Kwanini apelekwe Kenya sio nchi nyingine?
2. Ulinzi wake pale Nirobi hospital uliratibiwa na serikali ipi? ya kenya au Tanzania?
3. Kama ni Kenya, Kidiplomasia Tanzania na Kenya zikoje?
4. Kidiplomasia mtu anayeituhumu serikali ya nchi yake kumpiga risasi na kuhifadhiwa na Taifa jingine kwa kupewa ulinzi mkali ikoje?
5. Mahusiano ya Rais Kenyatta na Upinzani wa Tanzania yamejegwa katika misingi ipi? wanashirikiana katika mambo yapi?
Tahadhari hapa inahitajika, turejee jinsi watu waliowahi kuhatarisha usalama wa mataifa yao na hata kupindua serikali zao walikuwa na mahusiano kama hayo. Mobutu alipinduliwa na akina Kabila waliopata sapoti toka kwa mataifa rafiki ikiwemo Tanzania nk.

SAFARI YA UBELGIJI
Hapa yapo maswali kadhaa ambayo tunaweza kujiuliza maswali kadhaa.
1. Nani alipendekeza kupelekwa Ubelgiji?
2. Mahusiano ya Kenya na Ubelgiji kidiplomasia yakoje?
3. Kama ni Marafiki, kunauhusiano gani kati ya Lissu na kwenda Ubelgiji? kwanini Ubelgiji na sio Taifa jingine?
4. Tunajua mwenendo wake huko Ubelgiji?
5. Mazungumzo anayofanya na taasisi kubwa kubwa kama EU nk tunayafahamu? yamejikita kwenye nini na kwanini?
Tahadhari hapa ni juu ya mtu kuonekana kaenda kutibiwa ulaya kumbe kaenda kufanya mipango mikubwa ambayo hatma yake isiwe njema kwa Taifa.

SAFARI YA ZITTO UBELGIJI
Zitto kaenda Ubelgiji juzi na kafanikiwa Kumtembelea Lissu hospitalini, baadaye tunajua matamko yake na maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii. Maswali Kdhaa tunaweza kujiuliza.
1. Tunajua ziara yake ililenga nini na hao watu aliokutana nao akina nani?
2. Kwanini Ubelgiji kipindi hiki ambacho Lissu anaumwa?
3. Zitto na Lissu walikuwa watu mahasimu, Urafiki wao umekolezwa na nini?
Tahadhari hapa ni juu ya Zitto kuwa sapota katika mambo yanayoweza kuhatarisha usalama wa nchi. Linapokuja suala la Connections na Funding Zitto sio mtu wa kumpuuza.

NINI KIFANYIKE?
Kunahitajika wataalamu makini wa kiusalama na kidiplomasia kuwaweka karibu sana watu hawa juu ya mienendo yao katika kipindi cha miaka 3 kuanzia sasa nk.

Mapambano ya Rushwa yasiishie katika taasisi za kiraia yaende mbali zaidi mpaka kwenye taasisi za kijeshi. Maafisa na wakuu wa vikosi na kamandi mbalimbali wanapaswa kuwekwa under Critical investigation juu ya masuala yao kiuchumi kuliko kipindi chochote, RUSHWA ndio hatare zaidi kuliko jambo lolote lile kiusalama.

Udahili wa vijana wa kujiunga na jeshi la Kujenga Taifa, Mgambo na mafunzo yoyote ya kijeshi yafanyike kwa umakini ikiwezekana yasitishwe hasa yale yanayofanyika na kuwaacha vijana hao mtaani. Mfano hakuna haja ya kuendesha mafunzo ya mgambo bila mpango wowote wa kuwaendeleza kiuchumi. Vijana wa JKT Wasajiliwe kulingana na malengo na uwezo wa nchi kiusalama, nachomaanisha hapa ni kupunguza uwezekano wa kuacha vijana wenye mafunzo ya awali ya kijeshi Uraiani wasiofahamika mienendo ya maisha yao. vijana wasomiwasomi wanaokwenda JKT wasirudi kwa wingi Uraiani, usajili wao uendane na uhitaji tu. utashangaa kijana kamaliza mkataba JKT january mwaka huu sasa hivi anasafiri safiri mara Nirobi, mara Uganda, Mara South Sudan jambo ambalo linazua maswali mengi.
kupunguza matukio yanayowafanya wapinzani kuonewa huruma na mataifa ya nje, hapa naeleweka vema.

Idara ya uhamiaji ifanye kazi vema na itazame hasa mienendo ya kusafirisafiri kwa vijana wengi kwenda nje ya nchi, mpaka wa Tanzania Kenya utazamwe kwa macho mawili mawili.

MWISHO nikumbushe tu kwamba DRC iko hoi kiusalama kwasababu ya Taifa la Ubelgiji. Kwangu binafsi ni Taifa hatari kuliko mataifa yaliyozoeleka vinywani mwetu. Naviamini vyombo vya Ulinzi na Usalama na naamini viko macho daima.

Mambo ni mengi kichwani nisiwachoshe kwaleo, siwezi kuwa na wazo lenye manufaa kwa Taifa nikakaa kimya otherwise kuna sehemu mahususi ya kuwasilisha maoni hayo. asanteni
 
Unang'anang'ana na sijui Ubelgiji sijui Zito sijui nani unashindwa kuzungumzia hali ya hapa ndani ilivyo?unaona pako sawa hapa?kitambo hapo kauwawa yule kijana wa Kinondoni juzi mwanafunzi wa NIT leo mwanafuzi kaagwa mara Morogoro huko diwani ameuwawa kwa mapanga usiku huu.yote haya huayaoni?think positive dude.
 
Tatizo kubwa ni Magu na CCM ndo kitovu kikubwa cha uvunjifu wa amani...bila ya hivi vitu viwili unavyovipenda visipoachia ngazi things gonna be worse than DRC
 
Unaleta uharo hapa eti ubelgiji ulitaka hyo zito asiende kumwangalia mgonjwa?nyie km babayenu amewazuia unafikir wengne wamezuiliwa km nyie.ww utakuwa kwnye kundi lile la wasiojulikana umekuja kupima upepo huku
 
Umenena vyema, lkn haya ingependeza sana ungeyapeleka pale Makumbusho.
Hapa tutakuchamba mno.
Kwa hiyo cc vijana tuliopita JKT tukapita Chuo Bahati mbaya tukakosa kaujira, na pengine tunataka tukaongezee ka elimu ubeligiji pale, vyombo vya usalama vituangalie kwa jicho la binocular ??

Lemutuz, lekokobanga anaijua vizuri Belgian na experience za ubaharia, anaweza akatuhabalisha zaidi juu ya hili
 
Salaam....

Nchi yetu chini ya Amiri jeshi mkuu Dr Magufuli imekuwa salama na hali ya utulivu imekuwa juu sana kwa kipindi chote cha utawala wake. licha ya changamoto za hapa na pale kama vile mauaji ya Kibiti, uvamizi wa vituo vya polisi, na mambo mengine madogo madogo yenye kughasi usalama wa watu na mali zao ni ukweli kwamba nchi iko salama na wananchi wanafanya shughuli zao kwa amani na utulivu. Hongera sana Mheshimiwa Rais.

Naipenda nchi yangu, kwa miaka miwili sasa nimetokea kumpenda Mheshimiwa Rais na serikali yake na nishakula yamini ya kuwa mtiifu kwake na serikali yake milele. Hata hivyo ninayofuraha kuwasilisha mawazo yangu yafuatayo kuhusu usalama wa nchi kama ambavyo naweza kutoa maoni kuhusu siasa, utamaduni, nk.

SIASA ZA NCHI.
Hofu yangu kuu ni juu ya siasa za nchi miaka kadhaa ijayo, upinzani wa nchi unaweza kugeuka kuwa tishio kuu la kiusalama kama juhudi za kijasusi za kisiasa hazitachukuliwa.

TUNDU LISSU
Kapigwa risasi kaenda kutibiwa Nirobi, kuna maswali kadhaa ya kujiuliza...
1. Kwanini apelekwe Kenya sio nchi nyingine?
2. Ulinzi wake pale Nirobi hospital uliratibiwa na serikali ipi? ya kenya au Tanzania?
3. Kama ni Kenya, Kidiplomasia Tanzania na Kenya zikoje?
4. Kidiplomasia mtu anayeituhumu serikali ya nchi yake kumpiga risasi na kuhifadhiwa na Taifa jingine kwa kupewa ulinzi mkali ikoje?
5. Mahusiano ya Rais Kenyatta na Upinzani wa Tanzania yamejegwa katika misingi ipi? wanashirikiana katika mambo yapi?
Tahadhari hapa inahitajika, turejee jinsi watu waliowahi kuhatarisha usalama wa mataifa yao na hata kupindua serikali zao walikuwa na mahusiano kama hayo. Mobutu alipinduliwa na akina Kabila waliopata sapoti toka kwa mataifa rafiki ikiwemo Tanzania nk.

SAFARI YA UBELGIJI
Hapa yapo maswali kadhaa ambayo tunaweza kujiuliza maswali kadhaa.
1. Nani alipendekeza kupelekwa Ubelgiji?
2. Mahusiano ya Kenya na Ubelgiji kidiplomasia yakoje?
3. Kama ni Marafiki, kunauhusiano gani kati ya Lissu na kwenda Ubelgiji? kwanini Ubelgiji na sio Taifa jingine?
4. Tunajua mwenendo wake huko Ubelgiji?
5. Mazungumzo anayofanya na taasisi kubwa kubwa kama EU nk tunayafahamu? yamejikita kwenye nini na kwanini?
Tahadhari hapa ni juu ya mtu kuonekana kaenda kutibiwa ulaya kumbe kaenda kufanya mipango mikubwa ambayo hatma yake isiwe njema kwa Taifa.

SAFARI YA ZITTO UBELGIJI
Zitto kaenda Ubelgiji juzi na kafanikiwa Kumtembelea Lissu hospitalini, baadaye tunajua matamko yake na maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii. Maswali Kdhaa tunaweza kujiuliza.
1. Tunajua ziara yake ililenga nini na hao watu aliokutana nao akina nani?
2. Kwanini Ubelgiji kipindi hiki ambacho Lissu anaumwa?
3. Zitto na Lissu walikuwa watu mahasimu, Urafiki wao umekolezwa na nini?
Tahadhari hapa ni juu ya Zitto kuwa sapota katika mambo yanayoweza kuhatarisha usalama wa nchi. Linapokuja suala la Connections na Funding Zitto sio mtu wa kumpuuza.

NINI KIFANYIKE?
Kunahitajika wataalamu makini wa kiusalama na kidiplomasia kuwaweka karibu sana watu hawa juu ya mienendo yao katika kipindi cha miaka 3 kuanzia sasa nk.

Mapambano ya Rushwa yasiishie katika taasisi za kiraia yaende mbali zaidi mpaka kwenye taasisi za kijeshi. Maafisa na wakuu wa vikosi na kamandi mbalimbali wanapaswa kuwekwa under Critical investigation juu ya masuala yao kiuchumi kuliko kipindi chochote, RUSHWA ndio hatare zaidi kuliko jambo lolote lile kiusalama.

Udahili wa vijana wa kujiunga na jeshi la Kujenga Taifa, Mgambo na mafunzo yoyote ya kijeshi yafanyike kwa umakini ikiwezekana yasitishwe hasa yale yanayofanyika na kuwaacha vijana hao mtaani. Mfano hakuna haja ya kuendesha mafunzo ya mgambo bila mpango wowote wa kuwaendeleza kiuchumi. Vijana wa JKT Wasajiliwe kulingana na malengo na uwezo wa nchi kiusalama, nachomaanisha hapa ni kupunguza uwezekano wa kuacha vijana wenye mafunzo ya awali ya kijeshi Uraiani wasiofahamika mienendo ya maisha yao. vijana wasomiwasomi wanaokwenda JKT wasirudi kwa wingi Uraiani, usajili wao uendane na uhitaji tu. utashangaa kijana kamaliza mkataba JKT january mwaka huu sasa hivi anasafiri safiri mara Nirobi, mara Uganda, Mara South Sudan jambo ambalo linazua maswali mengi.
kupunguza matukio yanayowafanya wapinzani kuonewa huruma na mataifa ya nje, hapa naeleweka vema.

Idara ya uhamiaji ifanye kazi vema na itazame hasa mienendo ya kusafirisafiri kwa vijana wengi kwenda nje ya nchi, mpaka wa Tanzania Kenya utazamwe kwa macho mawili mawili.

MWISHO nikumbushe tu kwamba DRC iko hoi kiusalama kwasababu ya Taifa la Ubelgiji. Kwangu binafsi ni Taifa hatari kuliko mataifa yaliyozoeleka vinywani mwetu. Naviamini vyombo vya Ulinzi na Usalama na naamini viko macho daima.

Mambo ni mengi kichwani nisiwachoshe kwaleo, siwezi kuwa na wazo lenye manufaa kwa Taifa nikakaa kimya otherwise kuna sehemu mahususi ya kuwasilisha maoni hayo. asanteni
Haha munajitia vichwa nguvu huku mumejaa woga mmh endeleeni kukarabati vyuma muzzle watu wasitoke munafunga mgambo na vijana wasomisomi munataka kuwafungia jeshi ni bila ajira ole wenu
 
.....kidemokrasia mtu anayeishutumu serekali ya nchi yake kumpiga risasi na kuhifadhiwa na taifa jingine kwa kupewa ulinzi mkali ikoje..............

Hii paragraph imebeba mengi sana
 
I wish haya yanayowapata wengine yaguse familia yako, hapo ndipo utakapojua nini kinaendelea nchini.

Mfuasi mzuri wa CCM, makuzi mazuri ndani ya TANU BUT siwezi kujitoa ufahamu kiasi....subiri teuzi zaidi watakuona.
 
Nchi iko salama wewe kwanini unahofia kama ipo salama uchochezi huo Nchi haiko salama hata kidogo watu wanauawa wanapotea uhuru wa mawazo haupo mikutano ya siasa imefungwa kila mtanzania anaishi kwa hofu si mkulima au mtumishi wa sererkali wote roho juu ndio maana ya uditeta unatawala kuhusu lisu asingeweza kugawa mwili ili kipande kimoja kiende India na kingine ujerumani kokote ambako angeenda swali hilo lingekuwa hivyo kwanini huko magufuli ajitathimini kama yupo kwa mpango wa mungu au kasukumiziwa tu taifa na mkapa ajisahihishe muda unaruhusu
 
Back
Top Bottom