Nchi ikikabiliwa na migomo na mandamano kutokana na ukali wa maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi ikikabiliwa na migomo na mandamano kutokana na ukali wa maisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Feb 16, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi nashangazwa sana na Jk Serekali anavyo iendesha kama vile ni mali ya urisi wa familia yake, nchi imekabiliwa na matatizo mengi ya kijamii na ya kilazima Hospitali kukosa dawa na Ambalesi, wananchi kushindwa hata mloo wa mara moja na yomba yomba kuzidi.

  Kiongozi yoyote mwenye kula raha huku wananchi wake ikawa wanakula joto ya jiwe huyo sie, kiongozi niyule mwenye huruma na kujali raia wake, itakuwaje leo Tanzania imekabiliwa na ziki zakila aina huku Wabunge wakipewa mamilioni 90 kununua magari tu yakifahari.
  Ama kweli mwenye raha hamjuwi wala hamjali mwenye shida au ndio hivyo Watanzania wanavyo sema mitaani kuwa ccm zaifu mbele ya Chadema? maana kufanya hivi eti nikuwafunga mdomo Chadema wasije wakawashtaki ktk mauwaji ya Arusha ndio wamwake pesa za wavuja jacho .
   

  Attached Files:

 2. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii picha ni ya maandamano gani mkuu??
   
Loading...