manywangari jean malonkwa
Senior Member
- Mar 17, 2016
- 193
- 188
Nchi yetu kama zilivyo Nchi nyingi za kiafrica, mifumo yake ya kiutawala na ya kitasisi bado inaonekana kutokuwa imara sana.Ukisoma katiba nyingi za Nchi hizi ikiwemo ya kwetu ya 1977( as it is been amended time to time) utagundua upande wa serikali( executive) ukiwa na nguvu zaidi kuliko mihimili mingine( Bunge na Mahakama). Kwa mfano Rais, mwanasheria mkuu na mawaziri ni sehemu ya bunge, hawa ni watendaji mhimu sana wa serikali, uwepo wao ndani ya bunge unaweza kuathiri utendaji wake, mfano kama kuna hoja dhidi ya serikali na kuna uhitaji wa kupiga kura, it is obvious mawaziri hawa ambao kimsingi wameingia kama wabunge watajikuta wakiegemea mhimili wa serikali.
Nguvu hii ipo pia ktk mchakato wa kutunga sheria, ambao ukiangalia almost 90% hufanywa na serikali, ukiacha miswada binafisi( private bills ambazo zaweza kuletwa na binafsi) proposal huanzia wizarani, hupelekwa kwa makatibu wakuu kabla ya kupelekwa kwenye cabinet, ambao ukikubalika utapelekwa kwa CPD( Chief Parliamentary Draftsman ambaye naye ofisi yake ipo kwa mwanasheria mkuu wa serikali. Baada ya hapo mswaada utaletwa bungeni, na baadae kwa rais ambaye ndo ana mandate ya mwisho ya kuamua hiyo bill I we sheria au laa.Ukija kwenye Mahakama hvo hvo, majaji huteuliwa na rais, Mahakama inaendeshwa kwa kutegemea ruzuku toka serikalini.
Lkn hatuwezi kulaumu sana kutoka na na mda ambao tumekuwa huru, na ukiangalia tuna miaka 20 tu ya vyama nyingi jumlisha historian ya bara letu tukufu, may be, tunahitaji kwenda taratibu ili kuhakikisha tunaweka mifumo itakayotusaidia kupiga hatua za kimaendeleo badala ya kuwa kichaka cha kuvurugana kwa kivuli cha kila mtu kuwa huru kuongoza mhimili wake atakavyo.Japo mwisho wa Siku, kuwa na mifumo imara ni mojawapo ya dawa nyingi za matatizo ya bara hili.
Lkn mifumo imara haiwezi kuibuka tu, lazima itengenezwe na watu, lkn pia lazima isimamiwe na watu. Watu hawa lazima wawe watu imara, huwezi kupata mifumo imara iliyotengenezwa na watu dhaifu na inayosimamiwa na watu dhaifu, lkn watu hawa lazima wawe na nia njema na wasio na masirahi huko mbeleni. Tunahitaji watu imara kama Rais Pombe magufuli, Zitto zuberi kabwe, prof. Mhongo, Joice Ndalichako, Mzee Warioba na Free Mbowe, just to mention the few.
Watu wa aina hii ndo wanaweza kutujengea mifumo imara yenye njia imara ya kupata watu imara wa kuisimamia. Hivyo kabla ya kukimbilia kwenye kujenga mifumo lazima tupate strong men & women wa kutengeneza mifumo na watu ambao watakuja kuisimamia, watu ambao hawawezi kuwa corrupted, au hata kutishika pale watakapotishiwa, wote mnajua pale Dodoma panavojaaga inapotokea kuna mswaada au kitu chochote kinachoathiri watu Fulani, watu hao hufanya kila wawezalo kuhakikisha yanayoamuliwa yanawafavour wao au hata kama hayawapendelei basi yasiwaathiri kwenye mambo yao.
Men & women who are weak ni rahisi to be corrupted na kutengeneza mifumo itakayoendelea kuwabeba wachache, hasa wale wenye nguvu. Ndo maana mm nasema kukimbilia kutengeneza mifumo bila kuwa na watu imara wa kuitengeneza na kuisimamia litakuwa ni kosa kubwa.
Ndio maana mm nasema asikudanganye mtu, tunawahitaji sstrong men & women katika Nchii hii.