Nchi hii kuna watu wenye roho mbaya, wanafiki na wazandiki wakubwa!

Heshimu wenzako nawe utaheshimiwa, heshimu utawala uliopo madarakani nawe utaheshimiwa. Kuwa na lugha ya staha kama mzalendo wa Nchi nawe utaheshimiwa. Epuka lugha za kejeli na Matusi nawe utaheshimiwa. Vinginevyo kwa yeyote anaekwenda Kinyume na hayo na LAANA imkute
Pamoja na hayo, serikali ikubali kukosolewa! Inaongozwa na binadamu na siyo malaika, binadamu hawezi kufanya yote sawa kwa 100% na wapinzani au wasio na chama siyo maadui au wasaliti wa taifa! Wote wana nia moja ya kujenga taifa...
 
Wewe mpumbavu Sana, mirija yenu ya ukwapuaji imezibwa na tutaendelea kuiziba mpaka mkome.
Humu jukwaani unaongea na watu wasiozidi elfu kumi. Jifariji nao.

Watanzania tupo milioni hamsini, tunaendelea na shughuli zetu halali hata kabla Magu hajaingia mamlakani, na tupo poa tu.

Kazi kwenu vishoka.
Jiwe Gizani, ukisikia yalaaaa
 
Kwenye maktaba yangu nimeyahifadhi majina ya watu wote walioshangilia Lissu kushambuliwa , hii ni kwa faida ya vizazi vijavyo na ulimwengu wote kwa ujumla .
 
Watanzania ni wanafiki wapika majungu tu, kuna.mda unaweza tamani uhame nchi
 
Jamani TL alikua na maadui wengi, na walio muumiza wapo ndani ya chama chake, kumbuka adui yako hatoki mbali, acheni kuhisi watu ovyo ovyo.
Kubalini uchunguzi huru yote yawekwe bayana, kwa jinsi serikali hii inavyo chukia wapinzani ikitokea wakafanya kosa kubwa kama hilo si watanyongwa mchana kweupe?, Kama Wana diriki kuharibu kuharibu hata bustani za wapinzani hebu fikiria watamfanya nini mpinzani atakaye tenda kosa kama hilo!!!????
 
Jamani TL alikua na maadui wengi, na walio muumiza wapo ndani ya chama chake, kumbuka adui yako hatoki mbali, acheni kuhisi watu ovyo ovyo.
Ungeweka na uthibitisho wa hizo tuhuma zako dhidi ya TAML ingekuwa bora. Hadi utakapofanya hivyo we we utabakia kuwa muongo, mzushi na mzandiki. Grow up!
 
Ungeweka na uthibitisho wa hizo tuhuma zako dhidi ya TAML ingekuwa bora. Hadi utakapofanya hivyo we we utabakia kuwa muongo, mzushi na mzandiki. Grow up!
Kwani nyie mnavo washutumu CCM kuhusika na hilo mna ushahidi gani? weka sababu za msingi za kudhibitisha hao mnamo wanyoshea vidole na kuwatupia lawama, nami nitaweka za kwangu.
 
b6161de198b6b47cbb4816bd1f3f8ca8.jpg
Kitila
 
Back
Top Bottom