Nchi hii imeshindikana,tubadilike

Aliyetangazwa ndiye mshindi ukijua tofauti na hvyo unamaanisha kura yako ndiyo ilkuwa inaamua mshindi.
 
Sawa, ila aliyeshinda ni nan? Sijauliza rais Wa Tz ni nan , aliyeshinda ni nan?
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi anayeshinda ktk uchaguzi ndiye anayeunda serikali...
Na mshindi hutangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
 
Raisi wa JMTZ ndiye aliyeshinda Uchaguzi, kwa mujibu wa Katiba ya JMTZ, wasimamizi wa Kimataifa (AM,SADC,AU,EU,USA,Uchina ) ambayo imeelezea jinsi ambavyo raisi wa JMTZ anapatikana!

Jibu kwa kujiamini: Aliyeshinda uchaguzi wa rais ni Mh. John Joseph Pombe Magufuli. Hayo maelezo mengi ni jibu la mtu anayejihami. Rais wa JMTZ si mtu binafsi wala si mgombea; wakati huo JK alikuwa akishikilia nafasi hiyo. Utaharibu kibarua.
 
Masuala ya uchaguzi nan kayaleta? Mbona Lumumba wepesi Wa kusahau?
47a6ed17bd4f7c64ae02d0d2c08b2ca4.jpg


Angalia hapo utamjua aliyeanzisha ni nani...
 
Ndugu wanajamvi?

Jana tuliona uteuzi wa makatibu tawala ambao umeendelea kuthibitisha kuwa nchi haijui inaelekea wapi. Uteuzi huu na hata unaofuata unaendelea kukatisha tamaa maana wateule wanatia mashaka,mfano mwanafunzi wa taasisi ya elimu ya watu wazima ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM tawi hilo kateuliwa kuwa katibu huko Liwale.Hii inaonesha wasiwasi mkubwa huko tuendako.
Kwani sio mtanzania?
Mbona hushangai form6 failure,kuongoza maprofessor
 
Back
Top Bottom