Nchi hii hata watu wote wawe na Degree moja, haiwezi kuendelea

Unajua akili ya mtu mweusi inafanana kuanzia kule Algeria mpaka SA, yani mazingira mfano angalia kiwango Cha ustaarabu, utakuta wanafanana.
Wewe mbona ndio mchawi namba moja unaweka imani imani tu.
Sasa imekuwa sio rangi ni mazingira?
Tuambie hayo mazingira yana uhusianao gani na uchawi na roho mbaya na isiwe ujinga.
 
Hahaha unamfahamu nje ndani?
Umesoma kitabu gani hicho kimekuaminisha hayo?
Huyo nimesoma vitabu vyake vingi kumhusu na bado siwezi kujiaminisha namjua huyo alikuwa ni true seeke wa eduction.
Huo uchawi ulaya kunahadi vyuo vinaufundisha sijui unaongelea uchawi upi?
Kama ni uchawi wewe ni mchawi namba moja unaleta imani zako ndio unataka iwe kweli
Tuambie ubongo wa mtu mweusi unauhusiano gani na uchawi na roho mbaya sio kuleta porojo.
kwa sababu najua hivyo vyote ni matokeo ya ujinga.
Roho ya kuchukia mpaka unashindwa kula kisa jirani yako kanunua gari ama kajenga nyumba nzuri hiyo anayo mtu mweusi tu duniani kote...
 
Mimi tena Mchawi? We Role Model wangu Steve Jobs tuheshimiane..
Rangi ndo inaishi kwenye mazingir, rangi haina ustaarabu Wala haina kiu ya kustaarabika unategemea nn?
Wewe mbona ndio mchawi namba moja unaweka imani imani tu.
Sasa imekuwa sio rangi ni mazingira?
Tuambie hayo mazingira yana uhusianao gani na uchawi na roho mbaya na isiwe ujinga.
 
Mimi tena Mchawi? We Role Model wangu Steve Jobs tuheshimiane..
Rangi ndo inaishi kwenye mazingir, rangi haina ustaarabu Wala haina kiu ya kustaarabika unategemea nn?
Role model wako steve job hata hujasoma kitabu chochote kumhusu.
Tuambie kufikia ku-draw conclusion umetumia reasoning ip? abduction, deduction au induction.
Kwanini iwe uchawi na roho mbaya na sio ujinga?
 
Sasa enzi za kina chifu Mangungo ambao hawakuwa na elimu hii kulikuwa na maendeleo gani? Tatizo sio elimu bali tatizo ni ubinafsi. Ngozi nyeusi tuna ubinafsi, ndio tatizo.Kama wanasiasa wasiosoma wanaimba mapambio kwa watawala kama wafanyavyo wasomi, hapo tatizo ni ubinafsi au elimu?
 
Kama elimu imeshindwa kutuondolea ubinafsi ni ya nin?
Mtanzania akienda kusoma anataka apate kazi na pesa au apande cheo/mshara uongezeke ndio
Toka mdogo anambiwa akisoma atakuwa na maisha mazuri kwanini asiibe ili awe na maisha mazuri.
Kama mhadhir wa chuo anaenda kusoma mshahara uongezeke tatizo ni elimu au ubinafsi?
 
Sasa enzi za kina chifu Mangungo ambao hawakuwa na elimu hii kulikuwa na maendeleo gani? Tatizo sio elimu bali tatizo ni ubinafsi. Ngozi nyeusi tuna ubinafsi, ndio tatizo.Kama wanasiasa wasiosoma wanaimba mapambio kwa watawala kama wafanyavyo wasomi, hapo tatizo ni ubinafsi au elimu?
Nature ya elimu tuliyonayo na sio kutokuwa na elimu ndio kuwa na mendeleo.
Haija solve matatizo yetu hata chembe zaidi ya kutufanya vibarua badala ya thinkers
 
Kama unadegree nafikiri tutaafikiana.
Yaani nakubaliana na wewe kwenye "mfumo" wa Elimu ulivyo mbovu sio Elimu kama Elimu nadhani utakua umenielewa, na ndio msingi wa kukwambia una point kiaina.

Iko hivi.......

Mfumo rasmi ambao na mimi nimeupitia una pumba nyingi sana ambazo hazina maana yeyote kwa msomaji japokuwa mchele upo kiduchu . Sasa hizi pumba ndio naona nakubaliana na wewe upande huo kwamba kuna vitu vingi sana tunavisoma ambavyo vingine ni outdated, vingine ni irrelevant na mazingira, vingine ni functionless n.k n.k ambacho hivo vyote ni pumba tupu naona

Chukulia mfano mwanafunzi anaesoma mathematics std 2/3 halafu anafundishwa logarithms na hesabu zingine zinazofanana na hizo niambie atakuja kuapply kwenye mazingira gani yanayomzunguka baadae? Hapo ndio nasema ni "functionless"

Mfano mwingne, history mwanafunzi anafundishwa kuhusu "Evolution of Man" anaambiwa binadamu wa Kwanza alikuwa ni nyani then akawa anabadilika mpaka kuwa binadamu ..... Do you think hyo ni realistic? Jibu ni "Big No"!!!!.

Mwanafunzi anafundishwa kuhusu kina Othman dan Fodio, kina zwangendaba, Dingiswayo currently in this era stupid kabisa. Wenzetu wanabadilika wanasomeshwa technology since wakiwa wadogo tena kwa vitendo
sisi tumeng'ang'ania TU pumba zile zile miaka nenda Rudi unadhani tunapata ukombozi kwa njia ya Elimu?

Kuhusu technical education nadhani ndio elimu pekee kwa nchi zetu hizi ambazo unafundishwa straight kitu kinaeleweka na ukimaliza unatoka na ujuzi wa jambo fulani. Binafsi nataka watoto wangu niwakazie wafocus zaidi kwenye technical education kuliko huu UPUUZI mwingne.

Conclusion:- Pamoja na hizo changamoto za Elimu ya mbongo still huwezi fananisha na asiesoma kabisa ... Hapo tu mleta Mada umechemka kwa hiyo point yako so unachojaribu kuaminisha umma pia ni stupid kabisa .
 
Sasa enzi za kina chifu Mangungo ambao hawakuwa na elimu hii kulikuwa na maendeleo gani? Tatizo sio elimu bali tatizo ni ubinafsi. Ngozi nyeusi tuna ubinafsi, ndio tatizo.Kama wanasiasa wasiosoma wanaimba mapambio kwa watawala kama wafanyavyo wasomi, hapo tatizo ni ubinafsi au elimu?

Unafikiri jamii za wazungu hazikuwaga na watawala kama wakina Mangungo?
 
Labda wewe na ukoo wako na kizazi chako ndio hamtakaa muendelee kabisa, yaani wewe umesha jipa LAANA YA UMASKINI WA HALI YA JUU WEWE NA KIZAZI CHAKO CHOTE WALAHI NAKWAMBIA!
Hivi hujui ukiisema nchi inasikia ?
Basi umekula maneno ya kinywa chako mwenyewe walahi!
 
Back
Top Bottom