Nchi hii haipo huru, inahitaji ukombozi wa pili

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Mkoloni tulie nae ni wandani, ni sawa na kusema vita vyawenuewe kea wenyewe no no vita mbaya kabisa kwakuwa adui huwezi mjua anatokea wapi na ni yupi.

Kwa bahati nzuri tunawafahamu maadui zetu wakiongozwa na mkoloni mkuu com.

Tunahitaji kuikomboa nchi kisiasa, kiuchumi, kifkra na kisheria.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom